Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Kwahiyo binamu nyau ananikiss au ananibwekeaGood to see you, aunt yangu wa ukweli
![]()



binamu nilikumiss kiukweli vituko vyako ebu niwekee nyimbo niliyochagua
Kwahiyo binamu nyau ananikiss au ananibwekeaGood to see you, aunt yangu wa ukweli
![]()



binamu nilikumiss kiukweli vituko vyako ebu niwekee nyimbo niliyochagua
...hahahahaha, ndo maana sili wali kavu kavu, wali ndondo, hapo sio kunya tu hata mashuzi si ya kitoto, kaa mbali na biriani la kuku




binamuuuuuOhooo...unataka kutoa siri yetu nn?!Nipo
Sinaga hizo bembeleza
Hata hapa KF huwezi nikuta kabisa sababu ndo uhalisia wangu
Nikimzimia mtu kweli huwa namwibukia PM tu na tutamalizana huko
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Binamuuuuu nimeshachagua mwenyewe heshima yako kwanza nilikumiss pia jamaan mama mchuchu anakusalimia sana
Anakusalimia kweli mama tena ana hamu ya kukujua binamuyaani wewe ukiniambiaga habari za BH huwa nakuamini sana. Msalimie mno
Binamuuuuu nimeshachagua mwenyewe heshima yako kwanza nilikumiss pia jamaan mama mchuchu anakusalimia sana
9/Hazel Jones![]()
![]()
Demu Huyu alizaliwa na uke pea mbili
Huyu alisumbuliwa ugonjwa wa kushangaza wakati anakaribia kuvunja ungo na akajikuta anapata hedhi mfululizo kama mvua za masika
Anatokea huko High Wycombe nchini Uingereza
Tatizo lake linajulikana kama Uterus Didelphys yaani pia ana vyumba viwili vya uzazi
Alipoambiwa na dokta kwamba ana uke na vyumba vya uzazi pea mbili akamjibu abajisikia fahari japo unahitaji mtu antoe bikra kote kote......mi simo nasema simo !!
........

Sawa binamu ukikosa tuma hivyo hivyo kuna kipindi aliacha kabisa ngada na kwenda uk kuishi sijui kama alirudi jamaa anajua sana kurapNimeona uchaguzi wako, dah umenikumbusha mbali sana maana enzi hizo jamaa rapa anavuta bange tu hajaanza kutumia ngada. Nimeupata huo wimbo lakini una dakika 11, maana naona waliurekodi kwenye VHS kwanza. Nikikosa version nzuri natuma hivyo hivyo, maana wewe unaupenda
Nimependa hapo kuachwa ni kubaya ukizoea ni kuzuri Ahahhaha we shedede kubaliana na hali ujue kuna maisha bada ya kuachwa lee mzima anakusikia
nishazaoea ndomana nimemwambia mapemaaaNi viazi ulayaChipsi si ni viazi?
Binamu hunishindi mie jamaan nilimiss vituko vyako binamu![]()
nimefurahi pia binamu kuonana na wewe tena
Ahahhaha umenichekesha eti huwezi kuwasemea wengine halaf binamu we mchoyo ujue unaonekana
Tumosa kaniambia unajifunza kuweka maua binamu![]()
Mmmh6/Deepak Pastwan![]()
![]()
Huyu ni dogo kutoka familia maskini huko nchini India
Alizaliwa mwaka 2010 akiwa na miguu ya ziada "iliyoota" kifuani
Dogo alizaliwa akiwa na miguu 8 yaani dogo kifuani ana miguu kama matawi ya miti
Wazazi wake hawakuifurahia hali hiyo hivyo kuomba iondolewe
Hospitali ikawaonea huruma kutokana na umaskini uliowakithiri hivyo kumfanyia upasuaji bure na ukafanikiwa kuiondoa
........
Kama umezoea usilie lie basi akurudie we mwanaume jikaze ujue kubaliana na hali mmekutana ukubwani tu![]()
![]()
nishazaoea ndomana nimemwambia mapemaaa
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Huyu shule wanaweza kumbully5/Kangkang![]()
![]()
Huyu dogo alizaliwa uso wake ukiwa na sura mbili ukisema ana uso pea mbili pia hujakosea
Ukimwangalia vibaya unaweza kufikiri amevaa kinyago mask ila ndiyo alivyoumbwa
Na sasa keshavuka mwaka mmoja na anadunda tu
........
Hii weka mbali na watoto3/Doubledick Dude![]()
![]()
Jamaa alizaliwa na uume miwili na kuamua kujiita Doubledick Dude na kupata umaarufu mkubwa na furushi la followers kwenye mitandao ya kijamii
Sio tu kwamba anazo mbili bali pia zote zinapiga mzigo wa maana hivyo anaweza kuzitumia zote kwa pamoja demu ukizubaa shauri yako anatumbukiza mbili !!!
Kila mzigo wake ukichachamaa unafika inchi 7
Hali hii inajulikana kama Diphallia na dunia nzima kuna case takribani 100
......
HV kwani mikoani hakuna chipsi?!Ooh kumbe..nilidhani wa DAR
kwa kweli aunt nadhani kuna mtu anairoga simu yangu au ananiroga mimi binafsi. Nimeweka maua na nikaweka tangazo humu kuwa natest maua, lakini ajabu hayajaonekana, na hata nikiangalia tena hayaonekani.
Hivi unadhani hii ni kawaida?
Aliyenipa simu anajua alichofanya





binamu sitaki uchochezi mie ujue we na mjomba ako mtajuana wenyewe ndugu nyieMiss you tooNimewamiss munoooooo
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app