Makapuku Forum

Makapuku Forum

3839559a3706e607611bcf0a0f7ac570.jpg
TEAM DECEMBER
Mauzo sasa
 
Mfano ...DARASA HURU LA KAPUKU

JE WAJUA UBONGO WA BINADAMU UNAKUWA ACTIVE KIPINDI UMELALA /KUSINZIA KULIKO UKIWA MACHO ??

Ni ukweli husiopingika kuwa ubongo wa binadamu unakuwa active sana mda wa usiku au umelala kulinganisha na kipindi hujaupunyuaa ....ndiioo hujalala

Wewe ukiwa unajua umelala kumbe ndo ubongo uko bize kuliko unavyozania hii ni kutokana na ukweli kwamba neuronal system ambazo ndo zinahusika sana na hii hali zinakuwa active kuliko ....isodentritic core ambazo zinastretch kuanzia kwenye medulla kwenda mpaka kwenye hypothalamus hadi kufikia ubongo wa mbele zinasaidia sana .....


Ni mfano tu wa DHK
Aisee big up sana Lee Wa demi na shunie


Mpaka hapo nishajifunza kitu safi sana yaani
 
Mengine ndio nayajua leo kuhusu yeye bro..Tuko pamoja daima sidhan kama nitatoka humu, hata nikitoka labda nibadili lazm nirudi humu.
Humu ndio nimekulia toka bado mgeni hata mwez sijatimiza na pamenikutanusha na watu wengi ambao nawachukulia kama ndugu zangu na ninaweza shea nao kitu chochote bila kuogopa..

Long live Kf
Yaani ndio hivyo
Tupo hadi tunaosaidiana nje ya JF
Na tunaheshimiana na kutunziana siri tofauti na wanaJf wengine thread za kupakana matope kuhusu mambo yao ya nje ya JF zinajaa kila Siku
Sisi tupo kimya hatuna makuu na mtu nguzo yetu ni upendo na mshikamano
..... .....
 
Natamani siku moja ikiwezekana tukutane Kf wote somewhere tukanywa hata soda pamoja nitafurahi sana..Naomba hii one day itokee
Yaani ndio hivyo
Yupo hadi tunaosaidiana nje ya JF
Na tunaheshimiana na kutunziana siri tofauti na wanaJf wengine thread za kupakana matope kuhusu mambo yao ya nje ya JF zinajaa kila Siku
Sisi tupo kimya hatuna makuu na mtu nguzo yetu ni upendo na mshikamano
..... .....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom