Muziki: Good to See You
Nakusalimia Kapuku mheshimika, unajua kabisa salamu katika kipengele hiki ni muhimu. Yaani salamu ni muhimu hata kile kidole pendwa ambacho natumia kutaipu kinajua nini cha kufanya katika para ya kwanza. naamini umekuwa na siku nzuri na muda huu wa usiku umejituliza kutafakari nini ufanikishe kesho. Hongera na ni jambo zuri kukuona hapa.
Kuonesha fuuraha huwa sishindwi na lazima niseme kuwa karibu sana
Shunie ,
Mndali ndanyelakakomu na
shedede , nyie watu tuliwamiss hapa na zaidi aunt yangu ambaye tuna mipango mkakati wa maana sana, mkakati wa kujamiiana (soscialize) tukiwa na safari ya maisha yangu kule Kigamboni.
Muziki sasa, kwanza Bobi Wine mwanamuziki wa kule Uganda kashinda Ubunge na ni furaha sana jijini Kampala, alikuwa ni mgombea huru na bungeni kakaa na wapinzani. Sasa hapa kwetu mwaka 2005 Twanga Pepeta, magwiji hawa wa dansi chini ya Le generali na rapa mkali Diof walinogesha mwaka kwa album yao Safari.
kwa niaba ya
Shunie tafadhari burudika na wimbo huu.