Makapuku Forum

Makapuku Forum

2/Maria De Nazare
ca548e744faebda2167efc548198da45.jpg
7358fafc025296b80d935d62018af1f7.jpg

Huyu binti amezaliwa miaka 23 iliyopita na bado anadunda tu
Alizaliwa na vichwa viwili vinavyofanya kazi vizuri kabisa yaani kama aina fulani ile ya mnyama mwenye vichwa viwili
Wazazi wakaamua kumpa jina linalofanana na manage Yesu Maria wa Nazareth ila usilitaji bure jina la Bikira Maria hivyo huyu anaitwa tu MaraDe Nazare
Huyu ni binti wa Kibrazil kiuhalisia ni mapacha walioungana yaani chini ni mtu mmoja ila juu ndo wawili au tuseme tu mtu mwenye vichwa viwili
.......
Tembea uone
 
Wakuu habari za siku??..,nawapenda sana mishe mishe zanifanya niwe bize, na nisiingie kabisa jukwaani.

♡Cc.mndali-salamu zako nimezipata kakaangu tuko pamoja mno..

♡Cc.shunie-nimekumisi sana lee mzima??

♡Cc.shululu-nimekumissi afande mwenzangu vip shemeji yangu mzima??

♤Cc.lee empire-nimekumis sana blaza vip porini kwema??

♡Cc.bitoz-nimemisi story zako kaka

♡Cc.shimba ya buyense-nimemisi utani wako mkuu tuko pamoja.

♡cc.husna muba-japo kuachwa ni kubaya,hila ukikuzoea ni kuzuri sana, bado nakupenda ukiona vip nirudie, DOOR IS OPEN FOR YOU.
Pia nimewamisi wote hata ambao sijawataja list ni kubwa
-sakayo
-nyagei
-transcend



Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Karibu mkuu
 
Muziki: Good to See You


Nakusalimia Kapuku mheshimika, unajua kabisa salamu katika kipengele hiki ni muhimu. Yaani salamu ni muhimu hata kile kidole pendwa ambacho natumia kutaipu kinajua nini cha kufanya katika para ya kwanza. naamini umekuwa na siku nzuri na muda huu wa usiku umejituliza kutafakari nini ufanikishe kesho. Hongera na ni jambo zuri kukuona hapa.

Kuonesha fuuraha huwa sishindwi na lazima niseme kuwa karibu sana Shunie , Mndali ndanyelakakomu na shedede , nyie watu tuliwamiss hapa na zaidi aunt yangu ambaye tuna mipango mkakati wa maana sana, mkakati wa kujamiiana (soscialize) tukiwa na safari ya maisha yangu kule Kigamboni.

Muziki sasa, kwanza Bobi Wine mwanamuziki wa kule Uganda kashinda Ubunge na ni furaha sana jijini Kampala, alikuwa ni mgombea huru na bungeni kakaa na wapinzani. Sasa hapa kwetu mwaka 2005 Twanga Pepeta, magwiji hawa wa dansi chini ya Le generali na rapa mkali Diof walinogesha mwaka kwa album yao Safari.

kwa niaba ya Shunie tafadhari burudika na wimbo huu.



 

Similar Discussions

Back
Top Bottom