Makapuku Forum

Makapuku Forum

f3d538a928038b628d89d66c54addef6.jpg

Ukiambiwa nipe muda nifikirie ujue umeuzwa maana Dk 1 unusu pekee inatosha
......
inanoga kuzungusha zungusha kidogo
 
Nimewamiss munoooooo

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app


Shunie, hivi nikuite mara ngapi ili utambue kuwa nilikumiss sana na hata Safari lager ikageuka kuwa chungu huku mvinyo ukichacha.
Nimefurahi kukuona tena (huwa siwasemei wengine, maana kama kama nikikaribishwa msosi wale wa kwa niaba wataambulia kula kwa macho)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom