Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
KigamboninooooAm flattered, nashukuru aunt yangu wa ukweli. Furaha yako anaifurahia anko wangu na Mimi ndo nafurahia pia.
Mwenyewe zama za kina Mzee Jangala so utajua kabisa rtd ndo ilikuwa mpango mzima.
Nakupenda pia, sana tu na hasa unaponihakikishia kwenda kuleee (sipataji maana nishaanza kupata wasiwasi watu watatangulia kabla yetu)