Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wakuu habari za siku??..,nawapenda sana mishe mishe zanifanya niwe bize, na nisiingie kabisa jukwaani.

♡Cc.mndali-salamu zako nimezipata kakaangu tuko pamoja mno..

♡Cc.shunie-nimekumisi sana lee mzima??

♡Cc.shululu-nimekumissi afande mwenzangu vip shemeji yangu mzima??

♤Cc.lee empire-nimekumis sana blaza vip porini kwema??

♡Cc.bitoz-nimemisi story zako kaka

♡Cc.shimba ya buyense-nimemisi utani wako mkuu tuko pamoja.

♡cc.husna muba-japo kuachwa ni kubaya,hila ukikuzoea ni kuzuri sana, bado nakupenda ukiona vip nirudie, DOOR IS OPEN FOR YOU.
Pia nimewamisi wote hata ambao sijawataja list ni kubwa
-sakayo
-nyagei
-transcend



Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Mdau ndo maisha
Humu huwa tunakutana tukiwa free
Tukiwa na majukumu huwa hatuonekani hapa ....hivyo usokonde
Raha ya kuchat uwe free....usilazimishe !!!
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom