mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Marahaba Mjukuu wangu... Karibu msimbazi.mzeewakungoa shikamoo nimependa avatar yako
Marahaba Mjukuu wangu... Karibu msimbazi.mzeewakungoa shikamoo nimependa avatar yako
Miss you too shedy ukipata chance km HV utupe hiWakuu habari za siku??..,nawapenda sana mishe mishe zanifanya niwe bize, na nisiingie kabisa jukwaani.
♡Cc.mndali-salamu zako nimezipata kakaangu tuko pamoja mno..
♡Cc.shunie-nimekumisi sana lee mzima??
♡Cc.shululu-nimekumissi afande mwenzangu vip shemeji yangu mzima??
♤Cc.lee empire-nimekumis sana blaza vip porini kwema??
♡Cc.bitoz-nimemisi story zako kaka
♡Cc.shimba ya buyense-nimemisi utani wako mkuu tuko pamoja.
♡cc.husna muba-japo kuachwa ni kubaya,hila ukikuzoea ni kuzuri sana, bado nakupenda ukiona vip nirudie, DOOR IS OPEN FOR YOU.
Pia nimewamisi wote hata ambao sijawataja list ni kubwa
-sakayo
-nyagei
-transcend
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
PoaMambo?
...hahahahaha, ndo maana sili wali kavu kavu, wali ndondo, hapo sio kunya tu hata mashuzi si ya kitoto, kaa mbali na biriani la kuku

yaani wewe ukiniambiaga habari za BH huwa nakuamini sana. Msalimie mno

Good![]()
![]()
nishazaoea ndomana nimemwambia mapemaaa
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Nimempa option tu,hila akipenda apuuze tu...
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app

NishafikaMwache atafika tuu
Fitina wapi ...mimi nilitaka kumfundisha akadai Fatuma atamfundishaa

Keshapoa![]()
![]()
pole mpenwa wa Husna
GoodWala haina shida, mie mwenyewe simtakii..
Tunataka uzi... Mlipo takana mlileta uzi.
Nzuri mdauMtani upo?
Habari za TECNO?
![]()
![]()
![]()
......
Ukiringa naenda kwa mwingine
Kuzungushana ni kazi ya konda na dereva
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.......

Kama ulimaanisha lee empire kwa kumfananisha na huyo bogasi...umenikosea sana aiseeeeh
pole mkuuI love himMpendwa wa binamu yangu obe
Ohooo BC yaishe mkuuRaha ya siri iwe ya mtu mmoja
![]()
![]()
![]()
........