Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ijmaa ingelikuwa powaaaDuh ila sawa tu mdau
Week end siandiki napumzikaga tu
....
Ijmaa ingelikuwa powaaaDuh ila sawa tu mdau
Week end siandiki napumzikaga tu
....
Love you baby girl,you are Loved..you are so special,Be BlessedAmeen Mama![]()
nashukuru sana sana bila Mungu me si kitu chochote nakupenda sana Mama
![]()
![]()
Ahahhah nimekaribia na mambo mapya huku signature za simu huko no notificationKaribu mjengoni
Hahaha mwambie Yesu atakupa.Huwa natamani kweeeli hao triple jamani.... Mara moja tuuu baaasi
Hatujambo wangu habari ya chimbo,shemejio mzima kabisaNipo mimi mke mwee mnaendeleaje lakini msalimie shem lake
Mungu wa ajabu kweli2/Maria De Nazare![]()
![]()
Huyu binti amezaliwa miaka 23 iliyopita na bado anadunda tu
Alizaliwa na vichwa viwili vinavyofanya kazi vizuri kabisa yaani kama aina fulani ile ya mnyama mwenye vichwa viwili
Wazazi wakaamua kumpa jina linalofanana na manage Yesu Maria wa Nazareth ila usilitaji bure jina la Bikira Maria hivyo huyu anaitwa tu MaraDe Nazare
Huyu ni binti wa Kibrazil kiuhalisia ni mapacha walioungana yaani chini ni mtu mmoja ila juu ndo wawili au tuseme tu mtu mwenye vichwa viwili
.......
Asantee1/Hannah Kersey![]()
![]()
Huyu nama wa miaka 23 alifanikiwa kujifungua triplets yaani watoto watatu akiwa na miji miwili ya uzazi na kuweka rekodi
Yaani tuseme ana vizazi viwili (uterus) na hali hii inajulikana kama Uterine Didelphys na humtokea mwanamke mmoja kati ya 1,000
.
.
.
.
.
.
.
Wadau tukutane baadaye kidogo
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
...........
![]()
Maisha ya gheto bila chabo hayaendi
Shikamoo kaka daby na ant Shinune

Nawe piaNawasalimu nyote, siku njema!
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Namjuaa![]()
![]()
umbea amwachie nani hatakagi kupitwa na jambo
Mungu atakusaidia dada kwenye hitaji lakoHuwa natamani kweeeli hao triple jamani.... Mara moja tuuu baaasi

Id yako ya mwanzo ulikua nani jaman mbona hii id ngeni kwangu mie sijawahi iona

Pole mke mweeeeJamaaan sipati notification ya aina yeyote mimi jaman![]()
haya mambo mbona mapya kwangu
Thanks Mum love u moreeLove you baby girl,you are Loved..you are so special,Be Blessed![]()
![]()
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app

HaleluyaaHahaha mwambie Yesu atakupa.
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app