8/
George Lippert
Huyu George jamani kapendelewa
Alizaliwa mwaka 1844
Alizaliwa akiwa na
miguu mitatu na mioyo miwili lakini ilipofika siku ya kufa haikufua dafu mioyo yote injini zilisimama na nshua akavuta kama wengine tu wenye moyo mmoja!!
Huyu jamaa hakujua kama ana mioyo miwili tena iliyo futi hadi mwaka 1906 alipoenda hospitali na Daktari kumtonya ana moyo wa ziada
Miguu yake yote mitatu ilikuwa mizima na jamaa ukimchokoza utakula mateke zaidi ya shukrani ya punda.....Huyu ndo bwana Lippert
Miguuni jumla alikuwa na vidole 16
Hadi leo jamaa rekodi zake bado ni funika bovu labda zivunjwe na wanyama wengine ila siyo binadamu
........