Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shikamoo mama yangu kipenzi jamaan Mungu azidi kukuweka mama mchuchu sana siwezi ongea sana sitamaliza nakupenda sana na uzidi kubarikiwa kila siku iitwayo leo
Karibu Shunie,nakupenda mwanangu ,najivunia kuwa na binti mrembo machoni na rohoni kama wewe Mungu akutunze,akutetee,akupe maisha marefu ya Amani na kumpendeza Mungu maana MUNGU ANAKUPENDA SANA... akupe haja ya Moyo wako.....UBARIKIWE

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Ameen Mama nashukuru sana sana bila Mungu me si kitu chochote nakupenda sana Mama
 
1/Hannah Kersey
3601703ecdf9d29b2f22a8253ab255b9.jpg
87650229ef06e7cce916b3381910ce30.jpg

Huyu nama wa miaka 23 alifanikiwa kujifungua triplets yaani watoto watatu akiwa na miji miwili ya uzazi na kuweka rekodi
Yaani tuseme ana vizazi viwili (uterus) na hali hii inajulikana kama Uterine Didelphys na humtokea mwanamke mmoja kati ya 1,000
.
.
.
.
.
.
.
Wadau tukutane baadaye kidogo
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
...........
 
Asante sana Bitoz
 
Asante sana ubarikiwe kwa 10 bora leo

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
1/Hannah Kersey
3601703ecdf9d29b2f22a8253ab255b9.jpg
87650229ef06e7cce916b3381910ce30.jpg

Huyu nama wa miaka 23 alifanikiwa kujifungua triplets yaani watoto watatu akiwa na miji miwili ya uzazi na kuweka rekodi
Yaani tuseme ana vizazi viwili (uterus) na hali hii inajulikana kama Uterine Didelphys na humtokea mwanamke mmoja kati ya 1,000
.
.
.
.
.
.
.
Wadau tukutane baadaye kidogo
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
...........
Huwa natamani kweeeli hao triple jamani.... Mara moja tuuu baaasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom