Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hi Kapuku hotel mpishi hatendi haki kabisa anko, hivi ni lazima kila mchana tupikiwe ugali?

Wengine ni watu wa wali kwenda mbele, asubuhi tunaanza na vitumbua, mchana biriani , jioni walinazi. Kabla hakujakucha tunagonga kiporo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wali kila siku utakuwa hunyi wewee
 
Back
Top Bottom