Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Duh ila sawa tu mdauUngezipiga hizi wekend ingelinogaaa ...make hapa nilipo nakosa fursa ya kutema cheche ...
Week end siandiki napumzikaga tu
....
Duh ila sawa tu mdauUngezipiga hizi wekend ingelinogaaa ...make hapa nilipo nakosa fursa ya kutema cheche ...
Asante sanaKaribu
Wakuu niwatakie siku njema
Mzee wa saa mpya na husna wambie nimemwona afande ndo maana nimerudi

AiseeEwaaaaaaaah ....
Hii kitu kwa hali ya kawaida umaweza kuona sio jambo la kawaida kutokea lakini hii ndo biolojiaa mkuu/wakuu ...nakumbuka kwenye pita pita yangu nshagawahi kukutana na mtoto wa hali hii ....ni jambo la kawaidaa sana ila kibongo sio sana
Tumezoea kusikia DNA duplication lakin hii inaitwa Penile duplication wengine Diphillic terata .....![]()
![]()
![]()
Kutokea kwa halii hii ni hasa pindi kijusi (mtoto akiwa tumboni) hasa katika ya siku 23 -25 maarufu kama gestation na endapo kwenye hivi vitu muhimu nazungumzia urethra , bladder ila muhimu ni kwenye kidney aka figo ikitokeaa tu blander bhasi imekula kwa mtoto ....hapa ndo tunaona uwezo wa kijusi cha kiume na kike ....ila nisiwachoshe
Watu wa aina hii wapo wa aina tatu ..
1.Wapo ambao sehemu zinakuwa separate na kila moja inajitegemeaa....zote active
2.wapo ambao moja inakuwa imejiegesha kwa.nyenzake ....hii kwenye study ndo nilishawahi kukutana nayo...
3.wa mwisho moja inakuwepo ila moja ndo active nyingine kama urembo
Ndo hivyoHupungukiwi kitu ndio nilivyo sasa hivi jaman hata ukipita unitukane matusi yote na vijembe juu na like nakupa
Dada mbona haujaniambia hizi habari tenaHahaha
Shukrani kwa nyongezaEwaaaaaaaah ....
Hii kitu kwa hali ya kawaida umaweza kuona sio jambo la kawaida kutokea lakini hii ndo biolojiaa mkuu/wakuu ...nakumbuka kwenye pita pita yangu nshagawahi kukutana na mtoto wa hali hii ....ni jambo la kawaidaa sana ila kibongo sio sana
Tumezoea kusikia DNA duplication lakin hii inaitwa Penile duplication wengine Diphillic terata .....![]()
![]()
![]()
Kutokea kwa halii hii ni hasa pindi kijusi (mtoto akiwa tumboni) hasa katika ya siku 23 -25 maarufu kama gestation na endapo kwenye hivi vitu muhimu nazungumzia urethra , bladder ila muhimu ni kwenye kidney aka figo ikitokeaa tu blander bhasi imekula kwa mtoto ....hapa ndo tunaona uwezo wa kijusi cha kiume na kike ....ila nisiwachoshe
Watu wa aina hii wapo wa aina tatu ..
1.Wapo ambao sehemu zinakuwa separate na kila moja inajitegemeaa....zote active
2.wapo ambao moja inakuwa imejiegesha kwa.nyenzake ....hii kwenye study ndo nilishawahi kukutana nayo...
3.wa mwisho moja inakuwepo ila moja ndo active nyingine kama urembo
Kweli kabisa TozNdo hivyo
Usipomjibu mtu au ukimjibu kinyume ndo anaumia zaidi kuliko ukiweka ligi anakuona kama matusi /kebehi/magumashi yamekuchoma
The truth
.......
Id yako ya mwanzo ulikua nani jaman mbona hii id ngeni kwangu mie sijawahi iona![]()
Maisha ya gheto bila chabo hayaendi
Shikamoo kaka daby na ant Shinune
WoooooooyoooooNimewamiss munoooooo
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app

Nilipata salam zako sana mke mwee si unajua ninavyokupendaWoooooooyooooo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

nimetoka kwa lege dude limeamshwa sema kuna watu wanaharibu sana
Nilipata salam zako sana mke mwee si unajua ninavyokupendanimetoka kwa lege dude limeamshwa sema kuna watu wanaharibu sana
Kwema tuHabari za muda huu... Je kwema?
Ndo hivyo tena mamyDada mbona haujaniambia hizi habari tena
Shikamoo mama yangu kipenzi jamaan![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Mungu azidi kukuweka mama mchuchu sana siwezi ongea sana sitamaliza nakupenda sana na uzidi kubarikiwa kila siku iitwayo leo 
Ahahahah haya mambo ni mapya kwanguNdo hivyo tena mamy