shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ndiye, kwani vipWewe kweli ni shemeji yangu shimba?!
Ndiye, kwani vipWewe kweli ni shemeji yangu shimba?!
Morning T wa Sakayo BarikiwaMorning wakuu..
John Okelo historia haimjui kabisa, sijui kwa nini walificha1963 - Uingereza yaipa Zanzibar mamlaka ya kujiongoza yenyewe.
Lakini waarabu wakaendelea kutawala mpaka pale Januari mwaka 1964 ( miezi 7 ) ambapo Wazanzibar wakafanya Mapinduzi ya kumuondoa Mwarabu chini ya Uongozi wa Field Marshall John Okello.
Mbarikiwe mkuu Shululu na mkuu T wa Sakayo kazi yenu ni njema asante kwa magazetiView attachment 529732Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa transcend, nawatakieni jumamos njema
Waziri mkuu huyu alikuwa na vituko sana2013 - Waziri Mkuu wa zamani wa Italy, Silvio Berlusconi anakutwa na hatia ya kutumia vibaya madaraka yake na vilevile kutembea na watoto wadogo ( makahaba ) hivyo anahukumiwa kwenda jela miaka 7.
Pia aliwahi kumiliki klabu ya Ac Milan.
Wahafidhina hawakutaka awe juu yaoJohn Okelo historia haimjui kabisa, sijui kwa nini walificha
HBD Luis Garcia1978 - Luis Garcia anazaliwa.
Kiungo mshambuliaji / Winga wa zamani wa Barcelona, Atletico Madrid, Liverpool na timunya taifa ya Spain.
Alitwaa Uefa Champions League akiwa na Liverpool.
AmazingBecause Dads Are Born Too, And Magic Happens In That Moment
![]()

HBD Juan Riquelme1978 - Juan Roman Riquelme anazaliwa.
Kiungo Mshambuliaji wa zamani wa Boca Juniors, Barcelona, Villareal na timu ya taifa ya Argentina.
Mmoja kati ya viungo bora kuwahi kutokea katika soka.
Kevin Nolan mtata sana1982 - Kevin Nolan anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Bolton, Newcastle na West Ham.
Katika timu zote hizo alizocheza katika Ligi Kuu amekuwa kepteni wa hizo timu huku akiwa na kocha wake Sam Allardyce " Big Sam " katika timu zote hapo juu.
Kwasasa anacheza soka katika madaraja ya chini England.
HBD Lionel Messi1986 - Lionel Messi anazaliwa.
Mchezaji mahiri kutoka Barcelona na timu ya taifa ya Argentina.
Sina mengi ya kumuelezea nadhani kila mtu anajua Messi ni nani.
Ni mchezaji bora zaidi na mwenye kipaji cha hali ya juu kuwahi kumshuhudia toka nifatilie kabumbu.
HBD Micah Richard1988 - Micah Richards anazaliwa.
Beki wa zamani wa Man City ambaye kwasasa anacheza Aston Villa.
HBD David Alaba1992 - David Alaba anazaliwa.
Beki wa kushoto wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Austria.
SafiVenice, Italy
![]()
![]()
Asante musolini kwa leo katika historiaLeo Katika Historia:
Sina la ziada, sabato njema.
Sasa inatuhusu nini?Tahadhari Uzi wa likes una 41k
Sheikh Mkuu haufanyi mwezi kuandama, unaweza uandame leo!Mbarikiwe sana ,Sheikh mkuu ametangaza jana ,EID JUMATATU
Nitaarifa tu nawasilishaSasa inatuhusu nini?
Fikisheni hata reply bilioni 1 na kila mtu apewe like 100000000000000000
Nashangaa mnahangaika na sisi wakati sisi hatujishughulishi wala kushindana na mtu bali shughuli zetu
......
Asante mama mchungaji kwa kuyapitiaMbarikiwe mkuu Shululu na mkuu T wa Sakayo kazi yenu ni njema asante kwa magazeti