Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Hii Mvua ya Eid vp? ingenyesha huko Kibaigwa, Ikwiriri, Mtimbila, Kishapu na vijiji vingine
HBD Luis Garcia1978 - Luis Garcia anazaliwa.
Kiungo mshambuliaji / Winga wa zamani wa Barcelona, Atletico Madrid, Liverpool na timunya taifa ya Spain.
Alitwaa Uefa Champions League akiwa na Liverpool.
Sio kwa miguno hiyo! Ndio kila saa waguna?Nimejikutaaaa
I see![]()
Huyu bwana ni rubani![]()
Alikuwa akiwndesha ndege binafsi wakati anakatiza Mount Rainier akaviona vitu/object hivyo vikikimbia kwa kasi ya Maili 1200 kwa saa
Ilikuwa ni mara ya kwanza ....Habari ikaenea dunia nzima
......
Relax my love n huyo na zawadi zake dio namuuliza hapa unatambua uwepo wa hizo zawadi love?

Acha itusafishie wingu, neema hiyo mkuuHii Mvua ya Eid vp? ingenyesha huko Kibaigwa, Ikwiriri, Mtimbila, Kishapu na vijiji vingine
Unanicheka
haya bhanaAcha itusafishie wingu, neema hiyo mkuu
Yaani haya mambo yanafanywa na wengi lakini ni nani amfunge paka kengele? Ukweli wakifuatiliwa hakuna atakayebaki salama2013 - Waziri Mkuu wa zamani wa Italy, Silvio Berlusconi anakutwa na hatia ya kutumia vibaya madaraka yake na vilevile kutembea na watoto wadogo ( makahaba ) hivyo anahukumiwa kwenda jela miaka 7.
Pia aliwahi kumiliki klabu ya Ac Milan.
Ayya sawahaya bhana
Wapumzike kwa amani marehemu wote2002 - Treni ya Abiria inagongana na Treni ya Mizigo eneo la Igandu na Msagali Mjini Dodoma na kuua watu 281.
Ndio ajali ya treni iliyoua watu wengi zaidi katika historia ya bara la Afrika.
Rais Mkapa akatangaza siku kadhaa za Maombolezo na maiti ziliwekwa uwanja wa Jamhuri ili watu watambue ndugu zao.
Nice placeAngkor wat, Cambodia
![]()
![]()
Ok1947 - Kenneth Arnold anakuwa mtu wa kwanza kutangaza kuwa ameona vitu vipaavyo visivyojulikana maarufu kama UFO ( Unidentified Flying Objects ) huko Washington.
uko sahihiYaani haya mambo yanafanywa na wengi lakini ni nani amfunge paka kengele? Ukweli wakifuatiliwa hakuna atakayebaki salama
Kumbe ,asante1939 - Nchi ya Siam yabadilishwa jina na kuwa Thailand.
Mbaya sanaaa ..Mungu akunyimee vyotee ila sio hichooo
Sawa mkuu ...
Mwaliko vipiiii
Hongera kwa ufugajiKuna bara,kanga na kuku![]()
....