KaribuuBila kutembelea Makapuku Forum kwa siku kadhaa inawezekana.
Good morning Makapuku
Morning mme mweehMorning all kapuku
KaribuuTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO
Huyuu jamaa leo kaniachaaa hoiiiKirat bana!!
Jamaaa huyu nomaaaa sanaa
Mme mwee uko poa, shemela na watotoMorning mme mweeh
Hii hatariii sasa pale majogoo....kule akaee Mane uku Salah kati mubrazil nyuma yake mtoto wa udambwidambwiiii courtinhooooooo....
Yupo matipuHii hatariii sasa pale majogoo....kule akaee Mane uku Sarah kati mubrazil nyuma yake mtoto wa udambwidambwiiii courtinhooooooo....
Watafute bekii sasa
Ahsante mkuu Shululu kwa kunisogezea Font ferd kiganjaniView attachment 529732Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa transcend, nawatakieni jumamos njema
Si wa kispot spot kabisa.Huyuu jamaa leo kaniachaaa hoiii
Asantee mkuuView attachment 529732Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa transcend, nawatakieni jumamos njema
Miss you tooMiss you