Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Morning allMorning all kapuku
Morning allMorning all kapuku
JEREMIA 33
BWANA MUNGU ASEMA
3.Niite nami nitakuitikia,nami nitakuonesha mambo makubwa ,magumu usiyoyajua
BABA Asante kutuamsha salama,asante kwa zawadi hii nzuri kabisa ya uhai asante kwa kuitika kila tunapokuita,unatujua vyema na wala hujawahi kutuacha...tunakuona MUNGU wetu daima unatuitikia.
Tunaomba toba tunapoanza siku ya leo tuanze tukiwa tumeyaacha yote ya nyuma na kuanza upya maana ni siku mpya kabisa uliyoifanya BWANA.
Tunaomba utujalie afya njema,amani,mshikamano,msamaha,uvumilivu,upendo na yote yanayofanana na hayo.
Ponya wagonjwa,watie moyo waliopondeka mioyo,wafungulie wafungwa na wape faraja yatima na wajane.
Bariki kazi za mikono yetu na utufundishe kufanya kazi kwa bidii.
Tuopoe katika hatari zote za mwili na za roho,tuwe salama.
Asante BABA kwa kutuitikia
Tunaomba kwa
jina la Yesu Amen
MUWE NA SIKU NJEMA MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
Ameen Mama ubarikiweKaribu sana Ajibu
Asante sana ankali kwa magazetiView attachment 529732Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa transcend, nawatakieni jumamos njema
Morning LeeKaribuu
Siku 3 hivi inabidi niwe namfata mmu tuu sasa...manake mmmmhMh si tulikua wote na wewe pamoja mmu
Morning MwifwaSi wa kispot spot kabisa.
Anatutolea lock asubuhi kabisa.
Mornie Baba DWakuu kumekucha swalamaaaaaa. ..soon simulizi na UF bila kusahau dondoo za bbc
Asante mkuuuView attachment 529732Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa transcend, nawatakieni jumamos njema
Morning Jimena.Morning Mwifwa
MorningMorning all
MorningMorning all
Morning to u shemelaMorning all kapuku
MorningMorning Lee
Hahahhivi unasalimia mara ngapiiiii
Ubarikiwe mkuu ShululuAsante kwa maombi ya asubuhi ya leo, mama mchungaji
Morning kipenda rohoooMornie Baba D
Asante kwa story masikini huyu kaka kwa magumu anayopitia mpaka huruma yote sababu ya kupenda kwake namuonea huruma