Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji39] [emoji39]Hadi kupika![]()
Karibu supu ya mbuzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
.....
[emoji39] [emoji39]Hadi kupika![]()
Karibu supu ya mbuzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
.....
NakujuaSimuachiiiii
baily Haion hii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amaiziiiing
Nakumbushia mwaliko
Baba D salaam zako [emoji23]Nipo, sema nimeamka muda umeenda kidogo! Nampa hi!!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Hadi kupika![]()
Karibu supu ya mbuzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]baily Haion hii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naikumbukaa hii2002 - Treni ya Abiria inagongana na Treni ya Mizigo eneo la Igandu na Msagali Mjini Dodoma na kuua watu 281.
Ndio ajali ya treni iliyoua watu wengi zaidi katika historia ya bara la Afrika.
Rais Mkapa akatangaza siku kadhaa za Maombolezo na maiti ziliwekwa uwanja wa Jamhuri ili watu watambue ndugu zao.
Aise.....2002 - Treni ya Abiria inagongana na Treni ya Mizigo eneo la Igandu na Msagali Mjini Dodoma na kuua watu 281.
Ndio ajali ya treni iliyoua watu wengi zaidi katika historia ya bara la Afrika.
Rais Mkapa akatangaza siku kadhaa za Maombolezo na maiti ziliwekwa uwanja wa Jamhuri ili watu watambue ndugu zao.
Mwalikooo jamaniiNipo, sema nimeamka muda umeenda kidogo! Nampa hi!!
Sijuiiibaily Haion hii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee hii ajari watu walivyokufa2002 - Treni ya Abiria inagongana na Treni ya Mizigo eneo la Igandu na Msagali Mjini Dodoma na kuua watu 281.
Ndio ajali ya treni iliyoua watu wengi zaidi katika historia ya bara la Afrika.
Rais Mkapa akatangaza siku kadhaa za Maombolezo na maiti ziliwekwa uwanja wa Jamhuri ili watu watambue ndugu zao.
Hawa ndo utawasikia siku yenyewe ...kapuku wote ongera na id ...Baba D salaam zako [emoji23]
Asante mkuuLeo Katika Historia:
1932 - Mapinduzi yasiyomwaga damu yanatokea huko Siam (Thailand) na kuangusha utawala wa Mfalme Prajadhipok.
SawaaaTulia wewe
Muda wa historia huu
[emoji15] [emoji15] [emoji15]2013 - Waziri Mkuu wa zamani wa Italy, Silvio Berlusconi anakutwa na hatia ya kutumia vibaya madaraka yake na vilevile kutembea na watoto wadogo ( makahaba ) hivyo anahukumiwa kwenda jela miaka 7.
Pia aliwahi kumiliki klabu ya Ac Milan.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu we baba ni nini lakiniHawa ndo utawasikia siku yenyewe ...kapuku wote ongera na id ...
Mimi sitakii hii
Wewe subiriaa utaonaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu we baba ni nini lakini
Kama nitakuwepo nitakuwa busy kwenye mialiko [emoji23]Wewe subiriaa utaonaaa