Makapuku Forum

Makapuku Forum

HBD Juan Riquelme

Nakumbuka alivyo kosa penati kwenye mechi ya Villarreal na Arsenal

Na matumaini yote ya washabiki yalikuwa kwake

Na siku zote penati zenye pressure huleta fadhaa sana kwa mpigaji

Pillo na Totti hicho kizingiziti walikimudu sana
1c6a0cdb8055d99cb28849280f41bdd7.jpg
0df2763487efa0e0613eda7e72dab83d.jpg
e46044ace5a20de51b6701a7f7c79cb5.jpg
bf6e764b056c12f857761b3821cf3b95.jpg

Jens Lehmann alifuta tuta
....
 
NUKUU YA LEO

There have been some people and non-governmental organizations advocating for this idea, but it will not happen when i am in office, this is against our ethics.

Kumekuwepo na baadhi ya watu na mashikira yasiyo ya kiserikali kuunga mkono hoja hii, lakini hii haitatokea katika utawala wangu, hii ni kinyume na maadili yetu.

Haya maneno yalitamkwa na Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Johj Pombe Magufuli Tar. 22/06/2017. Rais Johj P Magufuli alizaliwa tar. 29 /10/1957 katika wilaya ya Chato, mkoa wa Kagera wakati huo nchi ikiitwa Tanganyika.

Rais Johj Magufuli anakuwa kiongozi wa juu kabisa kuja na kauli hii ambayo watanzania na ulimwengu kwa ujumla wameipokea kwa mtazamo hasi, kwa kuwa duni na ulimwenguwa sasa umekuwa ukipigania sana elimu na kundoa vikwazo hasa kwa wasichana na wanawake ambao ndio kundi kubwa linaloathirika kwa kukosa elimu.

Hii kauli itabaki kuwa kati ya kauli tata kutolewa na rais huyo, kwani wiki 2 zilizopita makamu wa rais alitangaza kuunga mkono na kuwakumbushia wazazi wote wenye watoto waliojifungua kwa mimba za utotoni kuwarudisha shuleni kwa kuwa hiyo ni sehemu ya ilani ya ccm ambayo yeye na magufuli wanaitekeleza.

Vyombo vingi vya habari vya kimataifa, mitandao ya kijamii imechukulia suala hili kama ukosefu wa busara, ukandamizaji na unyanyasaji wa kijinsia.

Wakati Rais akisema hayo alikuwa mbele ya Mke wa Rais wa zamani mama Salma Kikwete ambae pia ni mwenyekiti wa WAMA(Wanawake na maendeleo Foundation) NGO ambayo pia inapigania haki na usawa kwa wanawake na wasichana.

Wakuu ; Hii kauli ya rais ni ya kupigwa, sidhani kama kuna mtu atakuwa anaunga mkono juhudi ya ajabu namna hii, tutapoteza kizazi kwa mwendo huu.

Picha ikiwa inamuonesha mmoja ya wanafuzi wajawazito.
2.jpg
Maisha baada ya kujifungua.
3.jpg
mwanafunzi mwenye mimba akiwa shuleni.
4.jpg
Rais JPM
5.PNG
Moja wapo ya mambango elimishi yaliyochapiswa mtandaoni na NGO ya WAMA.

Hapo chini niweka link ! Ni video ya dakika 2:30...



Hii nimeileta kwa hisan ya Sakayo , Shunie Tumosa Madame S, Clkey ukhuty Jimena BlessedHope, demi Jovitha na wanawake wengine woote.
 
Sasa inatuhusu nini?
Au u nafikiri tupo hapa Jf kushindana kufanya/kupost ujinga ?
Fikisheni hata reply bilioni 1 na kila mtu apewe like 100000000000000000 ni juu yenu maana hakuna anayewawekea bando

Nashangaa mnahangaika na sisi wakati sisi hatujishughulishi wala kushindana na mtu bali tunajishughulisha na shughuli zet
......
 
Unajua shemela unajuaje kama mtu anakupenda

Wewe ikitokea labda nina mikwaruzo na baba d huwa nakuona aisee huwa unaongea ya moyoni hutaki kuona me na baba d tupo tofauti sio kama wengine jamaan wanafurahi kuwa nimeachwa sijui tumeachana ndio maisha lakini unajua jinsi ya kuishi na kila aina ya mtu

Na mara nyingi upo upande wangu sio siri sikujui shemela lakini unaonekana una roho nzuri sababu ya kukuona hapa jukwaani pamoja na kuwa sijui unafananaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom