Bana congo, bameshinda na kuingia kwa ile Coupe du Monde de la FIFA 2026...bado madakika tu, Congo wanaiwakilisha East Afirca kombe la dunia. Bana kende (sio zile zinazoimbwa na Halima) hawa wacheza sebene wakatuwakilishe
makaveli10 Poker moudgulf na wadau wote wa mpira
Ukilijua hili utakufa kwa ajali na mambo mengine, sio stress,presha wala depression
Uchicheme ngono, chema burudani ya mwili,roho na akili.
Hii ni ugiriki? Ungefunguka zaidi?
Sawa na ikawe hivyo...bado madakika tu, Congo wanaiwakilisha East Afirca kombe la dunia. Bana kende (sio zile zinazoimbwa na Halima) hawa wacheza sebene wakatuwakilishe
makaveli10 Poker moudgulf na wadau wote wa mpira