Amekuja lakini, hope alikuwa swalaaa...Naona ata wa updates leo kauchunaa
Amekuja lakini, hope alikuwa swalaaa...Naona ata wa updates leo kauchunaa
Arsenal wanajua...1986 - Lionel Messi anazaliwa.
Mchezaji mahiri kutoka Barcelona na timu ya taifa ya Argentina.
Sina mengi ya kumuelezea nadhani kila mtu anajua Messi ni nani.
Ni mchezaji bora zaidi na mwenye kipaji cha hali ya juu kuwahi kumshuhudia toka nifatilie kabumbu.
Hahaa, uandae na bajeti mkuu watu tuje tujimwage!Mimi sijui ila tayari nina kanzu, kilemba na sandles matataaaa
1963 - Uingereza yaipa Zanzibar mamlaka ya kujiongoza yenyewe.
Lakini waarabu wakaendelea kutawala mpaka pale Januari mwaka 1964 ( miezi 7 ) ambapo Wazanzibar wakafanya Mapinduzi ya kumuondoa Mwarabu chini ya Uongozi wa Field Marshall John Okello.
Mmmmmh
usiniambie unataka nishinde nyumbani
Jamaan Baba DUsinifanyiee hivo ...ujue tunayemwamini ni mmoja na yatupasa kushirikiana kwa kushirikishwaaa...
Ebu sema neno nijuee ...kama sipati kwako basi nijue

Toa taarifa kamili mkuu ...mambo ya msingi hayo usilete utaniii ...
Mpango mzima mwanza kivip
unanitia aibu ujue
Hbd Luis1978 - Luis Garcia anazaliwa.
Kiungo mshambuliaji / Winga wa zamani wa Barcelona, Atletico Madrid, Liverpool na timunya taifa ya Spain.
Alitwaa Uefa Champions League akiwa na Liverpool.
Hbd to him1978 - Juan Roman Riquelme anazaliwa.
Kiungo Mshambuliaji wa zamani wa Boca Juniors, Barcelona, Villareal na timu ya taifa ya Argentina.
Mmoja kati ya viungo bora kuwahi kutokea katika soka.
Hahahaha relaxAmaiziiiing
Nakumbushia mwaliko
Hbd Kevin1982 - Kevin Nolan anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Bolton, Newcastle na West Ham.
Katika timu zote hizo alizocheza katika Ligi Kuu amekuwa kepteni wa hizo timu huku akiwa na kocha wake Sam Allardyce " Big Sam " katika timu zote hapo juu.
Kwasasa anacheza soka katika madaraja ya chini England.
Hbd Messi1986 - Lionel Messi anazaliwa.
Mchezaji mahiri kutoka Barcelona na timu ya taifa ya Argentina.
Sina mengi ya kumuelezea nadhani kila mtu anajua Messi ni nani.
Ni mchezaji bora zaidi na mwenye kipaji cha hali ya juu kuwahi kumshuhudia toka nifatilie kabumbu.
Acheni ubishooIla bitoz unafugaje mbuzi huko town...?
Mimi labda niende ngorongoro crater kwa ma-babu zangu
1978 - Luis Garcia anazaliwa.
Kiungo mshambuliaji / Winga wa zamani wa Barcelona, Atletico Madrid, Liverpool na timunya taifa ya Spain.
Alitwaa Uefa Champions League akiwa na Liverpool.

Mh kwa leo hapana aisee sipo katika hiyo mood hiyo kitu inakuja automaticallyFanya leo leo tuu shuniii...!
Make it now
Happy birthday kwa huyu jamaaa1978 - Juan Roman Riquelme anazaliwa.
Kiungo Mshambuliaji wa zamani wa Boca Juniors, Barcelona, Villareal na timu ya taifa ya Argentina.
Mmoja kati ya viungo bora kuwahi kutokea katika soka.