Ni aibu sana kwa chama kinachojinadi kila siku kuwa kinapendwa na wananchi kutumia mbinu chafu, mabavu, wasimamizi wa uchaguzi kubaki madarakani. Kama unapendwa na unajua umefanya mengi ya kufurahisha wananchi hofu ya nini, kiasi cha kutumia mbinu chafu kama hizo za wakurugenzi kuungea wagombea wa upinzani kwa visingizio vya kijinga kiasi hicho?
Kama mnapendwa na wananchi ingieni kwenye mashindano halali mtoke na ushindi halali ili taifa liendelee kuimarika na kushamiri katika umoja na upendo. Pasipo haki taifa haliwezi kuendelea na kuwa pamoja. Ni aibu sana sana ambayo inatia kisirani kuona chama kikongwe kutumia mabavu kwa watoto waliowazaa wenyewe. Kumbe mnajua kuwa hampendwi ila mna yale mapenzi ya kubaka kwa nguvu