Ni aibu sana kwa chama kinachojinadi kila siku kuwa kinapendwa na wananchi kutumia mbinu chafu, mabavu, wasimamizi wa uchaguzi kubaki madarakani. Kama unapendwa na unajua umefanya mengi ya kufurahisha wananchi hofu ya nini, kiasi cha kutumia mbinu chafu kama hizo za wakurugenzi kuungea wagombea wa upinzani kwa visingizio vya kijinga kiasi hicho?

Kama mnapendwa na wananchi ingieni kwenye mashindano halali mtoke na ushindi halali ili taifa liendelee kuimarika na kushamiri katika umoja na upendo. Pasipo haki taifa haliwezi kuendelea na kuwa pamoja. Ni aibu sana sana ambayo inatia kisirani kuona chama kikongwe kutumia mabavu kwa watoto waliowazaa wenyewe. Kumbe mnajua kuwa hampendwi ila mna yale mapenzi ya kubaka kwa nguvu
 
Hata mwizi huwa anaogopa wananchi
 
1598513023425.png

Na Waziri Mkuu amepita bila kupingwa jimbo la Ruangwa.
 
Ni aibu sana kwa chama kinachojinadi kila siku kuwa kinapendwa na wananchi kutumia mbinu chafu, mabavu, wasimamizi wa uchaguzi kubaki madarakani. Kama unapendwa na unajua umefanya mengi ya kufurahisha wananchi hofu ya nini, kiasi cha kutumia mbinu chafu kama hizo za wakurugenzi kuungea wagombea wa upinzani kwa visingizio vya kijinga kiasi hicho?

Kama mnapendwa na wananchi ingieni kwenye mashindano halali mtoke na ushindi halali ili taifa liendelee kuimarika na kushamiri katika umoja na upendo. Pasipo haki taifa haliwezi kuendelea na kuwa pamoja. Ni aibu sana sana ambayo inatia kisirani kuona chama kikongwe kutumia mabavu kwa watoto waliowazaa wenyewe. Kumbe mnajua kuwa hampendwi ila mna yale mapenzi ya kubaka kwa nguvu
Tulia sindano ikuingie
 
January Makamba hakupata mpinzani aliyekidhi vigezo kwa kuwa mgombea wa CHADEMA hakuwasilisha picha 4 wakati akirudisha fomu amesema msimamizi wa uchaguzi jimbo la Bumbuli huko Lushoto mkoani Tanga.

Kwa mgombea wa Chadema ni kosa la picha ila ikiwa kwa mgombea wa ccm issue ya picha sio jambo la maana
 
Hakuna uchaguzi ni uchafuzi.
 
Roving Journalist,

Tume turejeshee Wagombea walioenguliwa kimzengwe. Kote huko kunakosemekana ni kupita bila kupingwa sababu ni za kushangaza zikiwamo kukamatwa kimzengwe, kuzuiliwa kuwasilisha fomu, na mengi ya kipuuzi puuzi tu.

Nyingi kama si zote ya hizi pitaji bila kupingwa ni hadaa za wazi tu.
 
Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Kilosa mkoani Morogoro amemtangaza Prof Paramagamba Kabudi kuwa mbunge mteule wa jimbo la Kilosa

Prof Kabudi amekabidhiwa barua ya uteuzi kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Siku moja nikiwa kwenye maongezi na wanachama wa chama Cha mapinduzi ambao walikuwa wametokea mkoani Mbeya kwenye kikao Cha kuweka mikakati ya kuchukua Jimbo la Mbeya mjini, niliwauliza swali; kwa Nini Jimbo hili linawaumiza kichawa namna hii ilihali mnaweza kufanya figisu na kumtangaza mgombea wenu hata Kama hajashinda?
Haya ndiyo majibu waliyonipatia;

Walisema kuwa, Ipo mikoa au majimbo, kulingana na Aina ya watu wa maeneo hayo Ni vigumu kumtangaza mtu ambaye hajashinda au kutangaza mtu amepita bila kupingwa kwani hiyo inaweza kusababisha vurugu ambazo pengine zinaweza kuzaa hata maandamano ya kimapinduzi.

Walitoa mfano wa mikoa hiyo kuwa Ni pamoja na;
Kigoma
Mara
Arusha
Mbeya
Kilimanjaro
Baadhi ya majimbo ya Mwanza na Iringa
Tunduma

Waliongeza Kwa kusema kuwa maeneo ya hapo juu CCM inaweza kufanya figisu ikiwa tu Ni kwa uchaguzi mdogo au wa marudio ambapo kunakuwa na Polisi wa kutosha ambao huelekezwa eneo husika, vinginevyo matokeo Mara nyingi hutangazwa Kama yalivyo

Sasa tayari wagombea wamerudisha fomu kwa ajili ya uteuzi na wapo wabunge ambao wamepita bila kupingwa. Tuangazie maeneo ambayo tume au Wasimamizi wa uchaguzi kwa unasiri mkubwa wameamua kuwaengua wagombea wa upinzani, Kisha tuhusianishe Ni kile ambacho wanachama Hawa wa CCM walinieleza ili tuone Kama kuna uhusiano.

Karibuni.
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom