LIVE Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Roving Journalist

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2017
Messages
290
Points
1,000

Roving Journalist

JF-Expert Member
Joined Apr 18, 2017
290 1,000
Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kata ya Kigamboni, Mtaa wa Feri Wagombea wote wa upinzani Hawajateuliwa.

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Kata ya Mabibo Mtaa wa Matokeo Wagombea wote wa Upinzani Hawajateuliwa.

Jimbo la Ubungo, Kata ya Manzese: Mtaa Chakula Bora - Wagombea wote wa upinzani wameondolewa na CCM wote kupitishwa

Ruangwa, Lindi: wagombea wote wa vyama vya upinzani wameondolewa. Pia taarifa kutoka Liwale Mkoa huo huo wa Lindi viongozi wote wa upinzani wanatafutwa na vyombo wa dola

Mtaa wa Jitegemee kata ya Mabibo Maelekezo ya Kitowateuwa Wagombea wetu wa ACT Wazalendo na Vyama Vyengine Vya Upinzani kwa Nafasi zote na Kuwapitisha CCM peke yao

Mtaa wa Golani, Kata ya Kimara kwa Wagombea Wote ACT Wazalendo na Chadema Wamekatwa na Msimamizi kutekeleza Maagizo

CCM kimepita bila kupingwa katika vijiji 12 kati ya 62 na vitongoji 110 kati ya 294 vya jimbo la Hai baada ya wagombea wa vyama vya upinzani kutochukua fomu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa,msimamizi wa uchaguzi katika jimbo hilo, Juma Masatu Kasoga amesema.
IMG_20191105_144145_167.jpg
IMG_20191105_143949_579.jpg
IMG_20191105_144140_749.jpg
IMG_20191105_143848_758.jpg
IMG_20191105_143723_797.jpg
IMG_20191105_143728_538.jpg
IMG_20191105_143248_193.jpg
IMG_20191105_143343_095.jpg
IMG_20191105_141626_561.jpg
IMG_20191105_143246_304.jpg
IMG_20191106_045813_234.jpg
IMG_20191106_081111_107.jpg
IMG_20191106_081108_363.jpg
 

Forum statistics

Threads 1,358,438
Members 519,294
Posts 33,168,311
Top