• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

paramagamba kabudi

  1. Kaka Pekee

    Marekani: Uhuru wa vyombo vya habari haupimwi kwa idadi ya machapisho

    Katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari leo jijini dodoma...Kaimu balozi wa Marekani ametoa tamko la Serikali ya Marekani juu ya Hali ilivyo kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini kwa kumpiga kijembe waziri wa mambo ya nje Prof. Kabudi kwa kusema "Uhuru wa vyombo vya habari...
  2. J

    Prof. Kabudi: Uwepo wa Viti Maalum bungeni ni kinyume cha Katiba ila upendeleo tu

    Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Kabudi amesema uwepo wa viti maalumu katika bunge au baraza la madiwani ni kinyume na katiba na limeachwa liendelee kuwepo kama jambo la upendeleo tu. Chanzo: TBC!
Top