Tatizo la utendaji hafifu ni kuteuana makada kufanya kazi za kitaaluma.
Ndio maana mna shindwa ku perform mna baki kuiba tuu.
Yaani pesa ina toka hazina na kupelekwa halmashauri nila maelekezo. Baadae mna zipiga . Sisi tuna ongezewa kodi.
Mungu ana waona maCcm
Hizo ni fedha za kudumisha amani

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Mtamtoa roho maharage ya mbeya subiri mteule tuone kama mvinyo ni uleule ila chpa ndo mpya au vyote ni vipya
 
Mtamtoa roho maharage ya mbeya subiri mteule tuone kama mvinyo ni uleule ila chpa ndo mpya au vyote ni vipya
 
Ccm Shida Sana Yaani Yenyewe Huwa Ipo Ipo Haioni Mpaka Kelele Zipigwe Nyingi
 
Walau sasa Nishati kutatakata kidogo..

January na Maharage walikuwa virusi na wahujumu wa taifa..

Naona ziara ya Mtwara imefyeka watumishi wengi sana. Madudu yalikuwa mengi bila shaka.
Mtu akiganya madudu anatakiwa afikishwe mahakamani ili ukweli ujulikane.
 
Hii badili badili ya wakuu wa shirika la umeme haijawahi kuondoa Tatizo la umeme, mama atafutwe suluhu vinginevyo atabadili mpaka atachoka
Ameteua pia mwenyekiti mwingine bodi ya tanesco ni mwanajeshi. Lazima pia waziri ateue wakurugenzi wengine kwenye bodi maana wale wa januari ni wafanya biashara na wazee kama mama majaar hawana usaidizi zaidi ya kufukuzia posho kubwa.
 
tuajiri Wazungu pale Tanesco kuanzia Mkurugenzi, Bodi of directors, wahandisi na baadhi ya watu muhimu kwenye operation.

Tufanye hivi pia TPA, ATCL nk.

Tumeshindwa kuendesha hivi vitu natunachoweza ni blah blah blah.
 
Back
Top Bottom