Mahafali ya Chuo kikuu Dodoma; Rais Magufuli atunukiwa shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa

I like this, mtu mzima na akili zako timamu you travel all the way kwenda kupewa shahada ambayo hujaingia darasani kusomea? Madness
 
Rais Magufuli kupewa degree ya heshima ya uzamivu mimi imenigusa sana. Inarejea kwenye usemi wake "tusingoje kuwasifu watu waliotenda mazuri wakisha kufa".

Rais hujapewa degree ya dezo kazi uliyoifanya kwa kipindi cha miaka mine haina au ulinganisho wa heshima yoyote iliyopo.

Actually hukuwa hata na sababu ya kusema mengi zaidi ya ahsante Mungu kwa kukuwezesha kufanya uliyoyafanya na kwa Mzee Mkapa na jopo lake kutambua mchango wako.

Degree hiyo ni ya Watanzania wote, kuanzia kesho naanza kujiita Dr Wimbo.
 
Na Mwamba wa Kaskazini

Nimeweka kichwa cha habari kwa Kiingereza kuonesha tu msisitizo wa mshangao wangu.

Nchini Ethiopia, moja ya mataifa yenye mwembwe lakini maskini kuna mtu kaingia madarakani hata miaka miwili hana lakini katuonesha unafiki wa wazungu.

Kaachia wafungwa wawili watatu, kawasifu wazungu na kiwapa deal flani flani, ghafla kapewa Nobel Price. Unafiki at its best.

Huko Dodoma leo nimesikia, chuma kinachofanya mambo makubwa kimeonhezewa nondoz; another Phd. Basi wamenuunaaa!

Nasema kwa mambo aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya Magufuli hii PHd imefika mahala pake, hakuna unafiki, hakuna pla bla bla. Hebu cheki tasnifu yake ilivyoshiba katika miaka yake minne ya kuiandika:

1. Amerejesha heshima ya utumishi wa umma. Leo ukisema uko Serikalini watu wanakuuliza "Magufuli hajambo?"

2. Amebana matumizi ya hovyo ya fedha za umma; hakuna mapozi ya semina za kula bata na kununuliana Vits Nyekundu tena.

3. Amewapa heshima watumishi wa umma kuonekana wanamageuzi. Leo kila mtumishi wa umma anajiona kichwa hata wale wazembe nao wanajiona wako kiwango cha flyover, SGR au Stigers

4. Ameondoa wafanyakazi hewa zaidi ya 19k;

5. Ameondoa vihiyo wa vyeti vya kidato cha nne zaidi ya 13k;

6.Analipa mishahara kwa wakati kabla ya tarehe 25;

7. Ametoa nyongeza ya asilimia 10 ya mshahara kwa zaidi ya wafanyakazi 500k ambapo mchakato huo haukuwahi kufanyika tangu 2010;

8. Amepandisha madaraja zaidi ya wafanyakazi 300k;

9. Watumishi wa umma sasa wanatoa huduma na wananchi wanasauti ya kudai huduma. Hakuna *"Miungu Watu."*

10. Ameajiri wafanyakazi wapya karibu kila sekta na kika siku nafasi mpya zinatangazwa na Sekretarieti ya ajira;

11. Amewapatia ajira vijana wengi kuptia miradi mikubwa inayoendelea nchini;

12. Amewapatia ajira watanzania wengi kupitia Sera ya viwanda;

13. Miradi sasa inasimamiwa na wanaodokoa fedha yanawakuta;

14. Miradi sasa inatekelezwa na inaonekana;

15. Halmashauri sasa zinaongeza mapato kila siku;

16. Amepeleka mifumo ya kisasa ya kukusanya mapato kwenye Halmashauri;

17. Amejenga hospitali 69 za Wilaya ndani ya mwaka mmoja (Kwa miaka 50 zilijengwa 77 tu);

18. Amejenga vituo vya afya vyenye hadhi ya kufanya oparesheni, viko zaidi ya 480;

19. Amejenga Hospitali za Mikoa za Kanda mikoa mingi ikiwemo Mtwara, Njombe, Mbeya, Simiyu, nk;

20. Shule za msingi na sekondari zimekarabatiwa zikiwemo shule kongwe za 65 za Serikali kama Azania, Tabora Boys, Minaki, Pugu, Tanga School n.k na ametumia zaidi ya bilioni 65;

21.Amewalipa walimu madeni yao zaidi ya Bilioni 16;

22. Anatoa elimu bure kwa bilioni 23.8 kwa mwezi;

22. Amesambaza madawati na mamilioni ya vitabu vya kiada na ziada;

23. Anawalipa Wakuu wa Shule posho zao za uongozi;

24. Amewapa heshima Wakuu wa Shule kusimamia fedha zao wenyewe, anapeleka TZS bilioni zaidi ya 900 katika miaka minne akiwa Ikulu kwa kuzipeleka moja kwa moja shuleni;

25. Anawalipa Maafisa Elimu Kata posho zao;

26.Amenunua magari ya wakaguzi wa elimu na kuyapeleka mikoa yote nchini;

27. Kateua viongozi vijana wa mikoa, wilaya na halmashauri mbalimbali;

28. Ofisi ya Waziri Mkuu imeimarishwa kiutendaji na tunaona PM anatindua hasa;

29. Zoezi la kuhamia Dodoma linaendelea kutimia na Rais ameshatangaza kuhamia;

30. Zaidi ya Wafanyakazi 10,000 wa wamehamia Dodoma;

31. Miradi ya barabara zaidi ya km 100 inajengwa Dodoma na iwanja mpya wa kimataifa wa ndege inakuja;

32. Mji wa Serikali umejengwa Dodoma;

33. Ikulu ya Dodoma imeboreshwa na makazi ya wafanyakazi yamejengwa;

34. Uwanja wa Mpira Dodoma unatangazwa kuanza kujengwa;

35. Soko kubwa linakamilika Dodoma;

36. Stendi kubwa inakamilika Dodoma;

37. Wananchi wanapimiwa na kuuziwa viwanja kwa bei chee;

38. Uwanja wa Ndege Dodoma umeboreshwa;

39.Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Msalato maandalizi ya ujenzi yameanza mabilioni yashatengwa;

40. Sekta binafsi imepewa fursa Dodoma, watu wanauza bidhaa, wanatoa huduma, wanajenga majengo;

41.Miradi ya kuwejengea uwezo vijana wasio na elimu rasmi na ujuzi imeendelea kutekelezwa;

42. Sherehe mbalimbali za kitaifa zimeratibiwa na nyingine kubadilishwa mfumo na fedha zaidi ya TZS Bilioni 5 kwenda kutumika kusaidia wananchi kama kujenga barabara, hospitali na madaraja ya juu ya kupita wananchi;

43. Bunge limeendelea na Kazi zake ikiwemo wabunge kupatiwa fedha za Mfuko wa Jimbo;

44. Serikali imefanikisha katazo la mifuko ya plastic;

45. Uthabiti wa usimamizi wa mazingira umeongezeka na kampuni kubwa tu kama Barrick zimepigwa faini au kuzuiwa kwa uchafuzi. Hakuna mtu kuogopwa;

46.Mapato ya Serikali yameongezeka kutoka Bil 850 kwa mwezi mpaka trilioni 1.3 kwa mwezi;

47. Serikali imeweka rekodi tangu nchi ianze ya kukusanya trilioni 1.7 kwa mwezi hivi karibuni;

48. Matumizi ya anasa hasa safari za nje zisizo na tija zimepungua sana;

49. Serikali inatoa fedha za Matumizi ya Kawaida kika mwezi, haijapata kutokea;

50. Fedha za miradi ya maendeleo hasa inayofadhiliwa kwa fedha za ndani nazo ni nyingi zinatoka na bajeti ha maendeleo imepanda kutoka asilimia 22 hadi asilimia 40;

51. Serikali imefuta kodi nyingi zenye kero, zaidi ya kodi 100 kwenye sekta mbalimbali kama kilimo, madini, uvuvi, biashara n.k.

52. Mifumo ya kisasa ya kukusanya mapato imeasisiwa kama EFD, TTMS ns GePG;

53. Rushwa imepiganwa hasa na Mahakama ya Mafisadi imeanzishwa;

54. Wanaohujumu uchumi wa nchi wamebanwa hasa na sasa wanarejesha walichokwiba;

55. Zaidi ya kesi 50 zilifikishwa Mahakama ya Mafisadi na Uhujumu Uchumi na baadhi kuamuliwa;

56. Tanzania imekuwa ya kwanza Afrika kwa kupigana kwa dhati ya Rushwa;

57. Tanzania imepanda zaidi ya nafasi 20 katika Ripoti za Kimataifa za Transparency International katika eneo la kupambana na rushwa;

58. Hachagui, walarushwa wadogo, wa kati, mapapa kama akina Sethi, Rugemarila, viongozi wa Amcos wako lupango;

56. Serikali imerejesha mali nyingi zikiwemo nyumba, magari n.k vilivyoibwa au kupatikana kifisadi;

60. Sekta ya madini ni heshina tupu yaani!;

61. Watoa rushwa Acacia kwa sasa hawapo, Tanzania na Barrick zimeunda kampuni mpya ya Twiga Minerals;

62. Vituo vya Umahiri wa kuendeleza madini vimejengwa;

63. Madini yanachakatuliwa ndani ya mikoa husika kuzuia wizi;

66. Makinikia hayaendi nje tena hovyo hovyo;

65. Masoko ya madini zaidi ya 20 yameanzishwa;

66. Ukuta wa Mirerani umejengwa;

67. Madini ya Tanzanite, sasa zimetoka kilo 166 kwa mwezi hadi zaidi ya kilo 1000 za zaidi;

68. Mapato ya Tanzanite kwa Serikali yametoka TZS 71m kwa mwaka hadi Bilioni 2 na ushee kutoka wachimbaji wadogo;

69.Mapato ya jumla sekta ya madini yamekua kutoka TZS Bilioni 191 hadi TZS Bilioni 325;

70. Mitambo ya kuchakata madini na kuyaongezea thamani sasa inafungwa hapa Tz;

71. Nchi nyingine za Afrika sasa zinakuja kujifunza kutoka Tanzania katika nyanja mbalimbali;

72. Msimamo katika Madini unasifika duniani kote;

73. Na Sheria mpya zimetungwa sasa sekta hii iko salama;

74. Maji alikuta vijijini ni chini ya asilimia 40 sasa ni zaidi ya asilimia 65 wanapata maji vijijini;

75. Mijini kazi kubwa inaendelea na katika lengo la kufikia asilimia 95 tatari Tanzania iko asilimia 85;

76. Miradi ya mabilioni inatekelezwa nchi nzima mfano zaidi ya trilioni 3 zimeenda kwenye maji pekee;

77. Maeneo yaliyokuwa Makame kama Same, Dodoma, Shinyanga, Singida, Tabora n.k, miradi ya kisasa ya maji inatekelezwa na mingine imekamilika;

78. Usimamizi wa miradi sasa imara zaidi, wahandisi wote wamerejeshwa kuwajibishwa na Wizara;

79. Katika Afya, Muhimbili imekuwa Apollo, vifaa vya kisasa kama CT Scan, tiba za figo, moyo, mifupa vimeimarishwa;

80. Hospitali ya Muhimbili sasa inapokea wagonjwa kutoka nchi jirani kama Komoro, Malawi, Zambia;

81.Hospitali ya Kansa nako vifaa vya mabilioni vimefungwa na inapokea wagonjwa mpaka kutoka Msumbiji na Zimbabwe;

82. Baneti ya Dawa sasa ni bil. 270 kutoka Bil. 31;

83. Usambazaji na upatikanaji wa Dawa sasa asilimia zaidi ya 90 kutoka wastani wa chini ya 50;

84. Kwenye kilimo ubabe wa viongozi wa Amcos kudhulumu wakulima uko mwishoni, wengi wako ndani;

85. Wakulima wa korosho wamejilia bei ya juu tangu wazaliwe baada ya Serikali kuinunua yote mwaka huu;

86. Serikali imeendelea kudhitibi bei za mazao muhimu ili wakulima wafaidike zaidi. itashangaa kumuona Zitto analalamika kuona wakulima wanapata bei nzuri ya mahindi mwaka huu.Mwanasiasa choka mbaya huyu!

87. Kwenye umeme Mradi wa kihistoria wa Nyerere umeshaanza sasa tunazitafuta megawati 2,115;

88. Mgao umekuwa historia;

89. Bado vijiji 4,000 tu Tanzania yote iwe imepata umeme;

90. Ile mitambo ya kutuumiza ya mafuta sijui IPTL, Aggreko n.k imezimiliwa mbali;

91. Reli ya kisasa inajengwa kwa fedha zetu trilioni 7.2;

92. Viwanda zaidi ya 4,000 vimeanzishwa ikiwa ni vikubwa, vidogo na vya kati;

93. Tanzania imekuwa miongoni mwa nchi 10 Bora Afrika kuvutia wawekezaji;

94. Tanzania imekuwa katika nchi 5 Bora Afrika kuongeza mapato ya utalii;

95. Tanzania imeongoza Afrika kwa Uchumi Jumuishi;

96. Tanzania imeongoza Afrika kwa wananchi wake kuona Ofisi ya Rais na Ya Waziri Mkuu hazihongeki;

97. Tanzania imeendelea kuongoza kwa amani na utulivu;

98. Tanzania imeendelea kuongoza Afrika kwa kuwa na Muungano thabiti;

99. Tanzania imeendelea kuongoza Afrika kwa Rais Magufuli kutajwa kuwa mmoja wa viongozi wanaostahili kuwa Rais wa Afrika Nzima; na

100. Katika Miaka Minne heshima ya Tanzania imesikika kote duniani, majarida yote maarufu kuanzia Forbes, FT, New York Times, Washington Post aidha yameitaja Tanzania kwa mazuri au kwa "ubishi" wake katika kupigania maendeleo yake.

Niendelee????????

Inatosha bana.....jua tu This is Magufuli, the transformer.
 
HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 kweli jiwe umefanya kazi ati phd, you have made my evening bro, you are a real comedian bro
 
Rais Magufuli kupewa degree ya heshima ya uzamivu Mimi imenigusa sana. Inalejea kwenye usemi wake " tusingoje kuwasifu watu waliotenda mazuri wakisha kufa" Rais hujapewa degree ya dezo kazi uliyoifanya kwa kipindi cha miaka mine haina au ulinganisho wa heshima yoyote iliyopo. Actually hukuwa hata na sababu ya kusema mengi zaidi ya aksante Mungu kwa kukuwezesha kufanya uliyoyafanya na kwa Mzee Mkapa na jopo lake kutambua mchango wako. Degree hiyo ni ya Tz wote kuanzia kesho naanza kujiita Dr Wimbo.
Kazi gani ww acha kutuchanganyia madensa au kwa kazi ya kutoa Deni la taifa kutoka trillion 22 Hadi 52? Kwa kazi ya kutumia incriment za wafanyakazi Kila mwaka kusomesha Elimu bure wanafunzi? Kwa kazi za kuiba mafao ya watu? Kwa kazi za kuminya demokrasia? Kwa kazi za kuuana na kutekana? Kwa kazi za kiubaguzi wa kiitikadi? Kwa kazi za kutoajili? Katika marais wa hovyo magufuli Ni namba Moja.
 
blix22, Swali langu ni kwamba PHD ya kwanza aliipata chuo gani na mwaka gani ? Nisaidie kidogo maana niko nyuma na historia ya huyu mhe.
 
Baada ya ile Phd feki naona ameamua kuongezea mpya ili afunike ya mwanzo!!!RIP BEN SAANANE!!!
Endelea kuota ndoto utajikuta umezeeka huna kitu ila kupost utumbo mitndaoni. Miaka hii mmeshikwa pabaya na lazima mnyoishwe tu
 
Majengo yaliyokuwa yanatumiwa na serikali ni majengo ya ndaki ya elimu ya biashara na sheria (CBSL), pesa zilizotajwa ni kujenga ndaki sayansi asilia na hisabati (CNMS) pamoja na ndaki ya sayansi ya dunia na uhandisi (CoESE)

Nimekuelewa wakati wanangoja iyo pesa, kwa nini wasitumie iyo ziada ya majengo kuanzisha ndaki hizo?
 
Jana Chuo Kikuu cha Dodoma kimemtunuku JPM ambaye ni rais wa JMT shahada ya heshima. Sababu za kumtunuku shahada hiyo ni kutambua utumishi wa mfano; kizalendo; na kujitoa kwakwe kwa ajili ya nchi yetu. Bahati mbaya Mtunukiwa ameona kama ni dezo. Siye yeye tu wengi wetu tunaona kama shahada hizo hazina maana pamoja na kwamba sababu za kutolewa kwake huwa zinatolewa. Kupewa heshima au kitu ukakibeza si jambo jema sana. Nukuu ya Aristotle inasema:-

"In the arena of human life, the honors and rewards fall to those who show their good qualities in action."

--Aristotle
 
Ni shahada ya kujipendekeza, eti uongozi "uliotukuka" !! yaani uongozi unaofanya utekaji, kupiga watu risasi mchana kweupe, kukiuka katiba ya nchi ndo uongozi wa mfano? Ujinga mtupu na aliyetoa pendekezo hilo anajidhalilisha na kudhalilisha taaluma.
 
Na Mwamba wa Kaskazini

Nimeweka kichwa cha habari kwa Kiingereza kuonesha tu msisitizo wa mshangao wangu.

Nchini Ethiopia, moja ya mataifa yenye mwembwe lakini maskini kuna mtu kaingia madarakani hata miaka miwili hana lakini katuonesha unafiki wa wazungu.

Kaachia wafungwa wawili watatu, kawasifu wazungu na kiwapa deal flani flani, ghafla kapewa Nobel Price. Unafiki at its best.

Huko Dodoma leo nimesikia, chuma kinachofanya mambo makubwa kimeonhezewa nondoz; another Phd. Basi wamenuunaaa!

Nasema kwa mambo aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya Magufuli hii PHd imefika mahala pake, hakuna unafiki, hakuna pla bla bla. Hebu cheki tasnifu yake ilivyoshiba katika miaka yake minne ya kuiandika:

1. Amerejesha heshima ya utumishi wa umma. Leo ukisema uko Serikalini watu wanakuuliza "Magufuli hajambo?"

2. Amebana matumizi ya hovyo ya fedha za umma; hakuna mapozi ya semina za kula bata na kununuliana Vits Nyekundu tena.

3. Amewapa heshima watumishi wa umma kuonekana wanamageuzi. Leo kila mtumishi wa umma anajiona kichwa hata wale wazembe nao wanajiona wako kiwango cha flyover, SGR au Stigers

4. Ameondoa wafanyakazi hewa zaidi ya 19k;

5. Ameondoa vihiyo wa vyeti vya kidato cha nne zaidi ya 13k;

6.Analipa mishahara kwa wakati kabla ya tarehe 25;

7. Ametoa nyongeza ya asilimia 10 ya mshahara kwa zaidi ya wafanyakazi 500k ambapo mchakato huo haukuwahi kufanyika tangu 2010;

8. Amepandisha madaraja zaidi ya wafanyakazi 300k;

9. Watumishi wa umma sasa wanatoa huduma na wananchi wanasauti ya kudai huduma. Hakuna *"Miungu Watu."*

10. Ameajiri wafanyakazi wapya karibu kila sekta na kika siku nafasi mpya zinatangazwa na Sekretarieti ya ajira;

11. Amewapatia ajira vijana wengi kuptia miradi mikubwa inayoendelea nchini;

12. Amewapatia ajira watanzania wengi kupitia Sera ya viwanda;

13. Miradi sasa inasimamiwa na wanaodokoa fedha yanawakuta;

14. Miradi sasa inatekelezwa na inaonekana;

15. Halmashauri sasa zinaongeza mapato kila siku;

16. Amepeleka mifumo ya kisasa ya kukusanya mapato kwenye Halmashauri;

17. Amejenga hospitali 69 za Wilaya ndani ya mwaka mmoja (Kwa miaka 50 zilijengwa 77 tu);

18. Amejenga vituo vya afya vyenye hadhi ya kufanya oparesheni, viko zaidi ya 480;

19. Amejenga Hospitali za Mikoa za Kanda mikoa mingi ikiwemo Mtwara, Njombe, Mbeya, Simiyu, nk;

20. Shule za msingi na sekondari zimekarabatiwa zikiwemo shule kongwe za 65 za Serikali kama Azania, Tabora Boys, Minaki, Pugu, Tanga School n.k na ametumia zaidi ya bilioni 65;

21.Amewalipa walimu madeni yao zaidi ya Bilioni 16;

22. Anatoa elimu bure kwa bilioni 23.8 kwa mwezi;

22. Amesambaza madawati na mamilioni ya vitabu vya kiada na ziada;

23. Anawalipa Wakuu wa Shule posho zao za uongozi;

24. Amewapa heshima Wakuu wa Shule kusimamia fedha zao wenyewe, anapeleka TZS bilioni zaidi ya 900 katika miaka minne akiwa Ikulu kwa kuzipeleka moja kwa moja shuleni;

25. Anawalipa Maafisa Elimu Kata posho zao;

26.Amenunua magari ya wakaguzi wa elimu na kuyapeleka mikoa yote nchini;

27. Kateua viongozi vijana wa mikoa, wilaya na halmashauri mbalimbali;

28. Ofisi ya Waziri Mkuu imeimarishwa kiutendaji na tunaona PM anatindua hasa;

29. Zoezi la kuhamia Dodoma linaendelea kutimia na Rais ameshatangaza kuhamia;

30. Zaidi ya Wafanyakazi 10,000 wa wamehamia Dodoma;

31. Miradi ya barabara zaidi ya km 100 inajengwa Dodoma na iwanja mpya wa kimataifa wa ndege inakuja;

32. Mji wa Serikali umejengwa Dodoma;

33. Ikulu ya Dodoma imeboreshwa na makazi ya wafanyakazi yamejengwa;

34. Uwanja wa Mpira Dodoma unatangazwa kuanza kujengwa;

35. Soko kubwa linakamilika Dodoma;

36. Stendi kubwa inakamilika Dodoma;

37. Wananchi wanapimiwa na kuuziwa viwanja kwa bei chee;

38. Uwanja wa Ndege Dodoma umeboreshwa;

39.Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Msalato maandalizi ya ujenzi yameanza mabilioni yashatengwa;

40. Sekta binafsi imepewa fursa Dodoma, watu wanauza bidhaa, wanatoa huduma, wanajenga majengo;

41.Miradi ya kuwejengea uwezo vijana wasio na elimu rasmi na ujuzi imeendelea kutekelezwa;

42. Sherehe mbalimbali za kitaifa zimeratibiwa na nyingine kubadilishwa mfumo na fedha zaidi ya TZS Bilioni 5 kwenda kutumika kusaidia wananchi kama kujenga barabara, hospitali na madaraja ya juu ya kupita wananchi;

43. Bunge limeendelea na Kazi zake ikiwemo wabunge kupatiwa fedha za Mfuko wa Jimbo;

44. Serikali imefanikisha katazo la mifuko ya plastic;

45. Uthabiti wa usimamizi wa mazingira umeongezeka na kampuni kubwa tu kama Barrick zimepigwa faini au kuzuiwa kwa uchafuzi. Hakuna mtu kuogopwa;

46.Mapato ya Serikali yameongezeka kutoka Bil 850 kwa mwezi mpaka trilioni 1.3 kwa mwezi;

47. Serikali imeweka rekodi tangu nchi ianze ya kukusanya trilioni 1.7 kwa mwezi hivi karibuni;

48. Matumizi ya anasa hasa safari za nje zisizo na tija zimepungua sana;

49. Serikali inatoa fedha za Matumizi ya Kawaida kika mwezi, haijapata kutokea;

50. Fedha za miradi ya maendeleo hasa inayofadhiliwa kwa fedha za ndani nazo ni nyingi zinatoka na bajeti ha maendeleo imepanda kutoka asilimia 22 hadi asilimia 40;

51. Serikali imefuta kodi nyingi zenye kero, zaidi ya kodi 100 kwenye sekta mbalimbali kama kilimo, madini, uvuvi, biashara n.k.

52. Mifumo ya kisasa ya kukusanya mapato imeasisiwa kama EFD, TTMS ns GePG;

53. Rushwa imepiganwa hasa na Mahakama ya Mafisadi imeanzishwa;

54. Wanaohujumu uchumi wa nchi wamebanwa hasa na sasa wanarejesha walichokwiba;

55. Zaidi ya kesi 50 zilifikishwa Mahakama ya Mafisadi na Uhujumu Uchumi na baadhi kuamuliwa;

56. Tanzania imekuwa ya kwanza Afrika kwa kupigana kwa dhati ya Rushwa;

57. Tanzania imepanda zaidi ya nafasi 20 katika Ripoti za Kimataifa za Transparency International katika eneo la kupambana na rushwa;

58. Hachagui, walarushwa wadogo, wa kati, mapapa kama akina Sethi, Rugemarila, viongozi wa Amcos wako lupango;

56. Serikali imerejesha mali nyingi zikiwemo nyumba, magari n.k vilivyoibwa au kupatikana kifisadi;

60. Sekta ya madini ni heshina tupu yaani!;

61. Watoa rushwa Acacia kwa sasa hawapo, Tanzania na Barrick zimeunda kampuni mpya ya Twiga Minerals;

62. Vituo vya Umahiri wa kuendeleza madini vimejengwa;

63. Madini yanachakatuliwa ndani ya mikoa husika kuzuia wizi;

66. Makinikia hayaendi nje tena hovyo hovyo;

65. Masoko ya madini zaidi ya 20 yameanzishwa;

66. Ukuta wa Mirerani umejengwa;

67. Madini ya Tanzanite, sasa zimetoka kilo 166 kwa mwezi hadi zaidi ya kilo 1000 za zaidi;

68. Mapato ya Tanzanite kwa Serikali yametoka TZS 71m kwa mwaka hadi Bilioni 2 na ushee kutoka wachimbaji wadogo;

69.Mapato ya jumla sekta ya madini yamekua kutoka TZS Bilioni 191 hadi TZS Bilioni 325;

70. Mitambo ya kuchakata madini na kuyaongezea thamani sasa inafungwa hapa Tz;

71. Nchi nyingine za Afrika sasa zinakuja kujifunza kutoka Tanzania katika nyanja mbalimbali;

72. Msimamo katika Madini unasifika duniani kote;

73. Na Sheria mpya zimetungwa sasa sekta hii iko salama;

74. Maji alikuta vijijini ni chini ya asilimia 40 sasa ni zaidi ya asilimia 65 wanapata maji vijijini;

75. Mijini kazi kubwa inaendelea na katika lengo la kufikia asilimia 95 tatari Tanzania iko asilimia 85;

76. Miradi ya mabilioni inatekelezwa nchi nzima mfano zaidi ya trilioni 3 zimeenda kwenye maji pekee;

77. Maeneo yaliyokuwa Makame kama Same, Dodoma, Shinyanga, Singida, Tabora n.k, miradi ya kisasa ya maji inatekelezwa na mingine imekamilika;

78. Usimamizi wa miradi sasa imara zaidi, wahandisi wote wamerejeshwa kuwajibishwa na Wizara;

79. Katika Afya, Muhimbili imekuwa Apollo, vifaa vya kisasa kama CT Scan, tiba za figo, moyo, mifupa vimeimarishwa;

80. Hospitali ya Muhimbili sasa inapokea wagonjwa kutoka nchi jirani kama Komoro, Malawi, Zambia;

81.Hospitali ya Kansa nako vifaa vya mabilioni vimefungwa na inapokea wagonjwa mpaka kutoka Msumbiji na Zimbabwe;

82. Baneti ya Dawa sasa ni bil. 270 kutoka Bil. 31;

83. Usambazaji na upatikanaji wa Dawa sasa asilimia zaidi ya 90 kutoka wastani wa chini ya 50;

84. Kwenye kilimo ubabe wa viongozi wa Amcos kudhulumu wakulima uko mwishoni, wengi wako ndani;

85. Wakulima wa korosho wamejilia bei ya juu tangu wazaliwe baada ya Serikali kuinunua yote mwaka huu;

86. Serikali imeendelea kudhitibi bei za mazao muhimu ili wakulima wafaidike zaidi. itashangaa kumuona Zitto analalamika kuona wakulima wanapata bei nzuri ya mahindi mwaka huu.Mwanasiasa choka mbaya huyu!

87. Kwenye umeme Mradi wa kihistoria wa Nyerere umeshaanza sasa tunazitafuta megawati 2,115;

88. Mgao umekuwa historia;

89. Bado vijiji 4,000 tu Tanzania yote iwe imepata umeme;

90. Ile mitambo ya kutuumiza ya mafuta sijui IPTL, Aggreko n.k imezimiliwa mbali;

91. Reli ya kisasa inajengwa kwa fedha zetu trilioni 7.2;

92. Viwanda zaidi ya 4,000 vimeanzishwa ikiwa ni vikubwa, vidogo na vya kati;

93. Tanzania imekuwa miongoni mwa nchi 10 Bora Afrika kuvutia wawekezaji;

94. Tanzania imekuwa katika nchi 5 Bora Afrika kuongeza mapato ya utalii;

95. Tanzania imeongoza Afrika kwa Uchumi Jumuishi;

96. Tanzania imeongoza Afrika kwa wananchi wake kuona Ofisi ya Rais na Ya Waziri Mkuu hazihongeki;

97. Tanzania imeendelea kuongoza kwa amani na utulivu;

98. Tanzania imeendelea kuongoza Afrika kwa kuwa na Muungano thabiti;

99. Tanzania imeendelea kuongoza Afrika kwa Rais Magufuli kutajwa kuwa mmoja wa viongozi wanaostahili kuwa Rais wa Afrika Nzima; na

100. Katika Miaka Minne heshima ya Tanzania imesikika kote duniani, majarida yote maarufu kuanzia Forbes, FT, New York Times, Washington Post aidha yameitaja Tanzania kwa mazuri au kwa "ubishi" wake katika kupigania maendeleo yake.

Niendelee????????

Inatosha bana.....jua tu This is Magufuli, the transformer.
Mkuu samahan, nimekutukana tusi moja zito sana kimoyo moyo
 
Back
Top Bottom