Una maana jamaa yupo vizuri kwenye matumizi ya mikopo kuliko waliomtangulia?Ndani ya hayo mafanikio, siku ukipata nafasi uje uanike deni la taifa limekuwa kwa kiwango gani ndani ya hiyo miaka minne ya hayo mafanikio.
Hata deni likiendelea kukua sisi tunaona pesa zinapo kwenda (zina kwenda kwenye maendeleo ya taifa-barabara mpaka mlangoni {Yombo}). Siyo tena mifukoni kwa mafisadi. Keep it up Magufuli.Ndani ya hayo mafanikio, siku ukipata nafasi uje uanike deni la taifa limekuwa kwa kiwango gani ndani ya hiyo miaka minne ya hayo mafanikio.
Hii barua haikuandikwa na serikali! Iangalie vizuriUkisikia unyafuzi wa ubongo ndio huu. Inakuwaje unatamba unaweza miradi mikubwa lakini tishio la ugonjwa hatari wa maisha ya wananchi wako unapiga magoti kuomba msaada?
Ebola ni ugonjwa tishio ambao kwa uhatari wake unaweka kila kitu pembeni una dili nao, lakini kwetu wanunua ndege cash hela $ 9M hatuna hadi tuwapigie magoti mabeberu?View attachment 1211817
Ukisikia unyafuzi wa ubongo ndio huu. Inakuwaje unatamba unaweza miradi mikubwa lakini tishio la ugonjwa hatari wa maisha ya wananchi wako unapiga magoti kuomba msaada?
Ebola ni ugonjwa tishio ambao kwa uhatari wake unaweka kila kitu pembeni una dili nao, lakini kwetu wanunua ndege cash hela $ 9M hatuna hadi tuwapigie magoti mabeberu?View attachment 1211817
Una maana jamaa yupo vizuri kwenye matumizi ya mikopo kuliko waliomtangulia?
maana hapo awali tulikuwa tukikopa na hatuoni chochote!
Hata deni likiendelea kukua sisi tunaona pesa zinapo kwenda (zina kwenda kwenye maendeleo ya taifa-barabara mpaka mlangoni {Yombo}). Siyo tena mifukoni kwa mafisadi. Keep it up Magufuli.
Saga chupa umeze ulaleCRAP!
Walimpitishaje kugombea urais?DNdugu zangu hivi nikwanini wanaCCM wengi hawampendi magufuri licha ya wananchi wengi wakawaida kumpenda? Je shida ninini?