Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,408
- 25,932
The greatest oppressor of our times.
Acha tuwajengee msikiti ili mutuite makafiri vizuri...!!Halafu msikiti wa ndani ya Ikulu Ya Dodoma
Huo msikiti utaleta masimango makubwa dhidi ya waislamu kuwa umejengwa kwa sadaka za kanisani
Nashauri waislamu wajenge msikiti wao wenyewe kwa fedha zao wenyewe, hizo pesa walizochangiwa za kanisani wazipeleke kusaidia watoto yatima