Kitu ambacho kinaipa asilimia kubwa ccm mpaka sasa ni kuwekeza nguvu zao kuwakabili chadema tu
Hapo nawapa asilimia 50 kwa kuwatumia police tunaowalipa kwa kodi zetu
Lakini kiuhalisia hakuna ahadi hata moja iliyofanywa au kutimizwa na ccm

Tanzania ni ile ile aliotuachia jakaya kikwete

Haijapiga hatua yoyote
nyie jamaa mmerogwa Hv ni mwananchi gani utamueleza ujinga huu akakuelewa au ndio mnajitekenya na kucheka wenyew,,, maendeleo tunayaona sana mpaka mnakosa sera ndugu zetu chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nadhani tunaonyeshwa mazingaombwe, tangia tumbuwa ya majipu ianze wanatufanya tunakua EXCITED halafu hakuna kinachofuata kwenye huo mchezo. Mahakama ya mafisadi ijengwe,tangia huu msemo uwepo, mmeiona ikijengwa?
Mahakama ya mafisadi ipo labda mpaka Lowasa akipelekwa ndio utajua inafanya kazi..na ukitaka kujua inafanyaje kazi niambie nikujuze sio unasubiri kudanganywa na bavicha wenzio...
 
Porojo nyongi hakuna watakalofanya mpaka miaka mitano inaisha
Kitu ambacho kinaipa asilimia kubwa ccm mpaka sasa ni kuwekeza nguvu zao kuwakabili chadema tu
Hapo nawapa asilimia 50 kwa kuwatumia police tunaowalipa kwa kodi zetu
Lakini kiuhalisia hakuna ahadi hata moja iliyofanywa au kutimizwa na ccm

Tanzania ni ile ile aliotuachia jakaya kikwete

Haijapiga hatua yoyote
 
Mahakama ya mafisadi ipo labda mpaka Lowasa akipelekwa ndio utajua inafanya kazi..na ukitaka kujua inafanyaje kazi niambie nikujuze sio unasubiri kudanganywa na bavicha wenzio...

Wewe naye hata kama umerogwa lakini mchawi wako pia huenda chooni,
Sema haya basi
--Sukari
--Bomoabomoa
--Vyeti feki ila kabaki mmoja
--Uchumi unakua kwa 4G speed
--Yeye ni wa wote
--.....,
 
Hivi ni kweli huoni kilichofanya au unazuga, kwani mtoto wako analipa ada? Hivi ile Barbara ya malinyi had I Namtumbo huisikii? Bado hizo mindege huion?
Kwani tuliambiwa ada au elimu bure mpaka kidato cha nne?
Hujui kuna tofauti ya ada na elimu bure
 
Ukweli hakuna kilichofanyika
Bajeti ya mwaka jana imetekelezwa kwa asilimia 30
Sijui ya mwaka huu itatekelezwa kwa asilimia ngapi
Ccm ni ileile tu hata aje malaika
 
Kitu ambacho kinaipa asilimia kubwa ccm mpaka sasa ni kuwekeza nguvu zao kuwakabili chadema tu
Hapo nawapa asilimia 50 kwa kuwatumia police tunaowalipa kwa kodi zetu
Lakini kiuhalisia hakuna ahadi hata moja iliyofanywa au kutimizwa na ccm

Tanzania ni ile ile aliotuachia jakaya kikwete

Haijapiga hatua yoyote
MaCCM ni majitu ya ajabu sana. Badala ya kupigania maendeleo, yanapambana na chadema kila kukicha.
 
Back
Top Bottom