MTU msomi anakomalia issue ndogo ya vitoto vilivyobeba ujauzito

MTU mwenye PhD speech yake anasema
hawafurukuti! hawaniwezi! watakoma! hawanitishi! wasinidrive! hatuna kiongozi aisee!!
amekalia kujisifu tu na watanzania walivo weupe kichwani eti wanamuamini
 
Anafanya responsibility yake bhana.. hakuna cha ziada.. ni kama baba akisifiwa kununua mchele kwa ajili ya familia wakati ni wajibu wake.. alah!
 
Ikulu chato
Ujenzi wa TRA chato
Uwanja wa ndege chato

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Kama Swali linavyojieleza embu watz tufunguke he ni kitu gani alichofanya mpk sasa kimekigusa direct katika maisha yako iwe chanya iwe hasi
KWANGU
HASI
1.Nilisaini 8% bodi but kiubabe ananikata 15%
2.sera mbovu zimefanya nanunua sukari 2500+ badala ya 1800
3.Nikiachishwa kazi leo sina cha kunisogeza mbele.kidogo maana kazuia kuchukua hela yangu mwenyewe eti mpk nifikishe 60yrs
4.Sina uhuru wa kuongea (LABDA KWENYE KEYBOARD) ingawa nako sina uhakika
5.Nitakipia road license miaka 100 hata bibi yangu atailipia ingawa nadhani hategemei hata kumiliki hilo gari
6.......mtajazia
Positive....Mhhhh hakuna.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
mshana umemuwahi mwenye siti
Vp hilo.la ndugu limekugusaje au mkeo ni.wa kanda pendwa? kapewa shavu?

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale wanaofuatilia ujenzi huu uliozinduliwa kwa mbwewe nyingi,hivi wamejenga hata kilometa moja?
 
Nawaona wazee wa taarifa mpate kuongea,.. Ndo umefika tazara, Debe tupu siku zote linakiherehere,..
 
Back
Top Bottom