Freesociety
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 943
- 888
Saana. Yaani imeonekana wao ni wazembe kuliko sisi.Chelsea wamezembea tu kutufunga
Saana. Yaani imeonekana wao ni wazembe kuliko sisi.Chelsea wamezembea tu kutufunga
Duuh huyu Medy sio kipa wa kawaida..
I knew the dude is good but man this top..
Hahaha Senegal vs Senegal
YNWA
hahagaaa! Eti ndombolo ya solo.Konate kwa kweli hahahaaa anacheza utafikiri anacheza ndomboro ya soro, speed mwendo wa kobe kweli? Konate bhana.
Hivi kwa nini huyu kenge asitangaze kustaafu?To be honest nina miaka kadhaa sijaona team yetu ikicheza mpira wa hovyo kama tuliocheza first half leo.
Cha ajabu ndio half tuliyofunga goli mbili. Ila kama Chelsea na wasingekuwa wabovu wangetufunga vizuri tu.
Wachezaji wengi leo walikuwa below par. Midfield ilikuwa uchwara kabisa Hendo amepoteza kila mpira aliougusa. Captain wa mchongo.
Aisee kumbe na wewe alikukera?Alafu Mendy huwa anafungwa magoli ya kizembe kweli ila ile miwa yenyewe unaona ni goli ndio anatoa, jamaa anakera.
Mkuu imeniuma sana lakini yaani tumeanza vzuuri lakini dah! Huu ubingwa tumuachie city tu.
Huchukui acha ndoto za mchana kwa mpira huuu na ule uliocheza na The Foxes sahauMkuu kimaesabu bado tunasifa zote Za kuwa bingwa.
Round ya kwanza tuna mechi mkononi na Leeds,city katuacha point 3.tukishinda tukishinda zinabaki 3 tukifungwa zitakuwa 6. Points 6 tunauwezo wakumkuta zingekuwa 15 kama za msimu uliopita ingekuwa imeisha hiyo.
Round ya pili ni marudio tu ya mechi za round ya kwanza aina tofauti sana lakini gap la points 3 na tunamechi na Leeds ili baki tatu au 6.
Sasa hivi city kuongoza inategemea na mechi alizoanzA nazo lakini Baada ya muda tutamkamata tu kama ilivyokuwa kwa chelsea watu wote walikuwa wanakubali chelsea anachukua ubingwa Msimu huu wakati chelsea anaongoza ligi kwa point 4, lakini alivyo kuja kucheza na kila timu hakaonekana hawezi na watu sasa hivi wanamkataa.
Watu wengi humu tunaangalia tu nani anaongoza ligi yaani tunafata upepo.ndio tunasema atachukua ubingwa lakini mambo yanaenda yanabadilika kipimo kizuri hiyo round ya kwanza ilivyoisha chelsea kutoka hapo juu. Ni mimi ndio nilikuwa naamini hilo,wengine hawakuelewi unaongea nini.
ilifika muda mimi peke yangu ndio nilikuwa nakataa Chelsea hawezi kuchukua ubingwa,wakati huo chelsea anaongoza ligi kwa points 4.lakini leo hii kiko wapi?
Mkuu bado tuna nafasi ya kuwa bingwa.
Huchukui acha ndoto za mchana kwa mpira huuu na ule uliocheza na The Foxes sahau
Ha ha AFCON hiyooooooooooo inakuja UTAJUA HAUJUI NGOJA UONE
Mkuuu Liverpool ameingia uwanjani akijua kabisa anashinda so sare nae kma amekuwa surprised hiv coz goal 2 ndani ya dakika kma 5 au 6 hiv ndio alichanganyikiwaMkuu mpira aliocheza man city na arsenal mbona hujashangaa?
Unashangaa liverpool peke yake.
Wazembe mnoSaana. Yaani imeonekana wao ni wazembe kuliko sisi.
Na ndio wanamfuata.Wazembe mno
Hawa wakienda kwa kipara atawaogesha mabao ya kutosha
Tuache utani kwa uchezaji huu hatuna ubingwa hapa.Mkuu kimaesabu bado tunasifa zote Za kuwa bingwa.
Round ya kwanza tuna mechi mkononi na Leeds,city katuacha point 3.tukishinda tukishinda zinabaki 3 tukifungwa zitakuwa 6. Points 6 tunauwezo wakumkuta zingekuwa 15 kama za msimu uliopita ingekuwa imeisha hiyo.
Round ya pili ni marudio tu ya mechi za round ya kwanza aina tofauti sana lakini gap la points 3 na tunamechi na Leeds ili baki tatu au 6.
Sasa hivi city kuongoza inategemea na mechi alizoanzA nazo lakini Baada ya muda tutamkamata tu kama ilivyokuwa kwa chelsea watu wote walikuwa wanakubali chelsea anachukua ubingwa Msimu huu wakati chelsea anaongoza ligi kwa point 4, lakini alivyo kuja kucheza na kila timu hakaonekana hawezi na watu sasa hivi wanamkataa.
Watu wengi humu tunaangalia tu nani anaongoza ligi yaani tunafata upepo.ndio tunasema atachukua ubingwa lakini mambo yanaenda yanabadilika kipimo kizuri hiyo round ya kwanza ilivyoisha chelsea kutoka hapo juu. Ni mimi ndio nilikuwa naamini hilo,wengine hawakuelewi unaongea nini.
ilifika muda mimi peke yangu ndio nilikuwa nakataa Chelsea hawezi kuchukua ubingwa,wakati huo chelsea anaongoza ligi kwa points 4.lakini leo hii kiko wapi?
Mkuu bado tuna nafasi ya kuwa bingwa.
Yeah, kweli kabisa.Tuache utani kwa uchezaji huu hatuna ubingwa hapa.
Hivihivi tunavyocheza ndio tukamkute kipara na kumtoa?
Labda Mungu aingilie tu kati.
Nimeshangaa sana mabao mawili wamerudisha na tunawashangaa tu.To be honest nina miaka kadhaa sijaona team yetu ikicheza mpira wa hovyo kama tuliocheza first half leo.
Cha ajabu ndio half tuliyofunga goli mbili. Ila kama Chelsea na wasingekuwa wabovu wangetufunga vizuri tu.
Wachezaji wengi leo walikuwa below par. Midfield ilikuwa uchwara kabisa Hendo amepoteza kila mpira aliougusa. Captain wa mchongo.
Watashindia wapi hao sasa?Vp mkuu ukifanikiwa kumla tunda kimadihara niambie.
Mnamuonea bure golikipa.Nisawa kabisa mkuu kwanini hakwenda pale hamebaki katikati,ila na golikipa nae alizingua pale allison lazima acheze kama ilivyokuwa kwa Spurs.