Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kumkamata gadiora ngumu alafu kumbukeni yeye ndo alianza ligi vibaya

Kuanza ligi vibaya inategemea ulipangiwa kuanza kucheza na nani.ndio maana kuongoza ligi mwanzoni hakukupi uhakika wakuchukua ligi ila baada ya mechi 19 Yaani Christmas pale zinakuwa kila timu inakuwa imeshacheza na timu zote zilizopo kwenye round ya kwanza.sasa hapo hakuna upendeleo wa ratiba kwamba nimepangiwa mechi ngumu.
 
Tuache utani kwa uchezaji huu hatuna ubingwa hapa.
Hivihivi tunavyocheza ndio tukamkute kipara na kumtoa?
Labda Mungu aingilie tu kati.
Mkuu man city kakuacha point 3 ?

Liverpool unapoint 42.unakiporo cha game moja ....


Ukishinda utakuwa na point 45....

Man city anapoint 53 .....

53-45= 8


Man city kaizidi Liverpool point 8 clear .......


Hizo point tatu unazosema ni zip ??????????????
 
Adjustments.jpg
 
Mkuu kimaesabu bado tunasifa zote Za kuwa bingwa.

Round ya kwanza tuna mechi mkononi na Leeds,city katuacha point 3.tukishinda tukishinda zinabaki 3 tukifungwa zitakuwa 6. Points 6 tunauwezo wakumkuta zingekuwa 15 kama za msimu uliopita ingekuwa imeisha hiyo.

Round ya pili ni marudio tu ya mechi za round ya kwanza aina tofauti sana lakini gap la points 3 na tunamechi na Leeds ili baki tatu au 6.

Sasa hivi city kuongoza inategemea na mechi alizoanzA nazo lakini Baada ya muda tutamkamata tu kama ilivyokuwa kwa chelsea watu wote walikuwa wanakubali chelsea anachukua ubingwa Msimu huu wakati chelsea anaongoza ligi kwa point 4, lakini alivyo kuja kucheza na kila timu hakaonekana hawezi na watu sasa hivi wanamkataa.

Watu wengi humu tunaangalia tu nani anaongoza ligi yaani tunafata upepo.ndio tunasema atachukua ubingwa lakini mambo yanaenda yanabadilika kipimo kizuri hiyo round ya kwanza ilivyoisha chelsea kutoka hapo juu. Ni mimi ndio nilikuwa naamini hilo,wengine hawakuelewi unaongea nini.


ilifika muda mimi peke yangu ndio nilikuwa nakataa Chelsea hawezi kuchukua ubingwa,wakati huo chelsea anaongoza ligi kwa points 4.lakini leo hii kiko wapi?

Mkuu bado tuna nafasi ya kuwa bingwa.
Mkuu man city kakuacha point 3 ?

Liverpool unapoint 42.unakiporo cha game moja ....

Ukishinda utakuwa na point 45....

Man city anapoint 53 .....

53-45= 8

Man city kaizidi Liverpool point 8 clear .......

Na hapa ni endapo utashinda kiporo na Leeds united ....

Hizo point tatu unazosema ni zip
 
Kama nyie ni wanaume kweli pandeni huku juuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
official.mancity.fans-20220102-0001.jpg
 
Tulia wewe.

Analipwa kwa kufanya kazi hiyo.

Au unahisi ni mchezaji wa man city yule.

Nyie wenyewe kipa wenu kawaokoa sana.

Kipindi cha kwanza tu tulikuwa tunamaliza match.
Mmalizie wapi
Kamshukuruni yule kaka.
 
Mkuu man city kakuacha point 3 ?

Liverpool unapoint 42.unakiporo cha game moja ....

Ukishinda utakuwa na point 45....

Man city anapoint 53 .....

53-45= 8

Man city kaizidi Liverpool point 8 clear .......

Na hapa ni endapo utashinda kiporo na Leeds united ....

Hizo point tatu unazosema ni zip

Mkuu namaanisha round ya kwanza imeishaje yaani Baada ya mechi 19 , ligi inamechi 38.

Wanasema atakae ongoza ligi Christmas Ndio bingwa , Christmas inakuwaga kila mtu amecheza Mechi 19 ndio tafsiri yangu.

Mkuu Hautanielewa saizi Maana unaongoza ligi Saizi nitakuambia nini?[emoji3].

Muda Ndio utaamua maana hata chelsea niliwaambia hawakunielewa Saizi akili imewakaa sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom