Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

WORST MIDFIELDER PERFORMANCE

MIDFIELDER can't complete a pass,
Losses possession
Badala ya kununa inabidi kucheka aisee yaaani ugenini unaanza na Henderson na Milner seriously...

Ki ufupi Milner, Keita, Henderson ni utopolo..

Hahaha Jota out khaaa...

Kipara bye bye.

YNWA
 
2022 bombastic level EPL..

Aiseee kwamba hatuna uwezo wa kuua mechi namna hii hatari sana.

Jones ama Ox kwa kutembea na mpira ni wazuri sijui Milner 36yrs wa nini ugenini.

Katoa faulo ya kijinga sana.

Ollachuga Oc momentum kwako sasa.

YNWA

Sijui how they guys make this awful decisions yaaani unatoa goal threat kwenye timu especially mipira ya kichwa like serious yaaan...

Leo Chelsea washindwe wao kuchukua pointi 3 kwetu maana sio kwa huu utopolo wa wa kikosi...

YNWA
Katikati ndio pabovu halafu anamtoa Jota
 
Hivi huyu Henderson Uingereza wake una nguvu kiasi gani ama Klopp hua anabeti hahaha...

Milner almost 36 wa nini kama leo...

Henderson hua headless chicken..

Chelsea bila proven forward wametoka kifua mbele..

YNWA
Mimi kiungo ambaye hawezi kupunguza hata mtu mmoja huwa simkubali, ndio Henderson na milner.
Kocha anajua Chelsea huwa wanajaza viungo kati yeye anawawekea milner na henderson
 
Mimi kiungo ambaye hawezi kupunguza hata mtu mmoja huwa simkubali, ndio Henderson na milner.
Kocha anajua Chelsea huwa wanajaza viungo kati yeye anawawekea milner na henderson
Mimi nilikuwa najiuliza sana hizi midfielder zilizo kuwepo leo ndio mpango wa Klopp kabla ya covid? Hivi kwa game ngum kama ya leo unamuweka Milner!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom