Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sijui how they guys make this awful decisions yaaani unatoa goal threat kwenye timu especially mipira ya kichwa like serious yaaan...

Leo Chelsea washindwe wao kuchukua pointi 3 kwetu maana sio kwa huu utopolo wa wa kikosi...

YNWA

Mkuu nje hakuna mchezaji wakuingia Mkuu usilaumu sana.

Wachezaji tegemezi wote wana COVID-19, sasa nani atacheza.

angekuwa Ali ,matip,Thiago hapo sub angeingi Bobby lakini sasa hatuna wachezaji.

Mechi na Spurs wachezaji walikuwa na COVID-19, na mechi hii pia wana Covid-19 tena wengine mpaka inatia hasira .

Wiki ijayo wengine watakuwa na COVID.

Salah,mane ,matip na keita wanaondoka sasa hao wengine wanaobaki na wao wakiumwa COVID tutashindwa kupata point kwa sababu za kijinga sana.

Hatuna kikosi kipana wachezaji sasa wajilinde.
 
Midfielder zetu zimezingua sana aisee, pumbavu sana covid imesababisha yote haya.

Mechi hii tulikuwa tuna nafasi kubwa ya ushindi lakini wachezaji wetu wamezingua wao wanaumwa Covid kila Siku akipona huyu Kesho anaumwa mwingine wiki ijayo utasikia jota ,na taa,

Nje ukiangalia hakukuwa na sub yamaana,kati angecheza nani hapo, klopp anajitahidi sana kwa matokeo tunayopata
 
Mkuu nje hakuna mchezaji wakuingia Mkuu usilaumu sana.

Wachezaji tegemezi wote wana COVID-19, sasa nani atacheza.

angekuwa Ali ,matip,Thiago hapo sub angeingi Bobby lakini sasa hatuna wachezaji.

Mechi na Spurs wachezaji walikuwa na COVID-19, na mechi hii pia wana Covid-19 tena wengine mpaka inatia hasira .

Wiki ijayo wengine watakuwa na COVID.

Salah,mane ,matip na keita wanaondoka sasa hao wengine wanaobaki na wao wakiumwa COVID tutashindwa kupata point kwa sababu za kijinga sana.

Hatuna kikosi kipana wachezaji sasa wajilinde.
Matip haodoki.

Nalaumu mkuu pale una ballers kwenye benchi Morton, Ox na Jones ambao wangeanza kuliko kumwanzisha Milner sasa tazama faulo yake pale tukapigwa goli la kwanza...

Haya tukaongoza goli 2 baada tuwe na utulivu tukawa all over the place why sababu MFs hawa ku control game zaidi ya kutoa reckless passes...

Milner na Hendo ni pedestrians any day of the week.

Nwa kuwalaumu bure hatuna squad depth kumkimbiza Kipara aliesheheni vipaji kila nafasi..

Shame on you FSG.

YNWA
 
Mechi hii tulikuwa tuna nafasi kubwa ya ushindi lakini wachezaji wetu wamezingua wao wanaumwa Covid kila Siku akipona huyu Kesho anaumwa mwingine wiki ijayo utasikia jota ,na taa,

Nje ukiangalia hakukuwa na sub yamaana,kati angecheza nani hapo, klopp anajitahidi sana kwa matokeo tunayopata
Mkuu imeniuma sana lakini yaani tumeanza vzuuri lakini dah! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Huu ubingwa tumuachie city tu.
 
Wachezaji wetu sijui hata wanachokifanya
To be honest nina miaka kadhaa sijaona team yetu ikicheza mpira wa hovyo kama tuliocheza first half leo.

Cha ajabu ndio half tuliyofunga goli mbili. Ila kama Chelsea na wasingekuwa wabovu wangetufunga vizuri tu.

Wachezaji wengi leo walikuwa below par. Midfield ilikuwa uchwara kabisa Hendo amepoteza kila mpira aliougusa. Captain wa mchongo.
 
KONATE ni trash tu
Msimlaumu Konate. Still young (20) na bado ni mgeni kwenye league na bado ni second fiddle kwamaana kuwa akiwa fit Matip yeye anakaa nje.

Leo kikosi chetu kilikuwa hovyo Van Dijk alikuwa hovyo so expect kijana mdogo kama Konate nae awe hovyo kutokana na kuwa hovyo kwa kiongozi wake pale nyuma.

Second half angalau tumeonyesha uhai ila first half was terrible.
 
Nisawa kabisa mkuu kwanini hakwenda pale hamebaki katikati,ila na golikipa nae alizingua pale allison lazima acheze kama ilivyokuwa kwa Spurs.
Kipa pale usimlaumu mkuu. Ile move kaianza Hendo badala ya ku clear mpira aoshe uende hata nje akampasi Trent pass ya hovyo tena akiwa under pressure. Hendo ndio ametu cost game ya leo wala halina ubishi hilo.
 
Matip haodoki.

Nalaumu mkuu pale una ballers kwenye benchi Morton, Ox na Jones ambao wangeanza kuliko kumwanzisha Milner sasa tazama faulo yake pale tukapigwa goli la kwanza...

Haya tukaongoza goli 2 baada tuwe na utulivu tukawa all over the place why sababu MFs hawa ku control game zaidi ya kutoa reckless passes...

Milner na Hendo ni pedestrians any day of the week.

Nwa kuwalaumu bure hatuna squad depth kumkimbiza Kipara aliesheheni vipaji kila nafasi..

Shame on you FSG.

YNWA

Mkuu bila investment with bringing in more/fresh quality players to our poor squad hatuna kitu tutafanya

Na nahisi Pep atafanya some additions this winter window as he always does (Few days ago they offloaded Ferran Torres) and back to ourselves its absolutely nothing (i hadn't come across any rumors about our activity in this already opened winter window)
 
Klopp hua anajificha eti sio muumin wa kusajili January unless atokee exceptional player kama VVD nk..

Decision making baadhi ya hawa wachezaji ni mzigo kwa vile wanajua benchi halina replacement wanajiedea tu watakavyo...

FSG careless about timely investment wao ni mpaka wauze ndio wananunue yaaani we are doomed tuna kikosi cha kuungaunga we dare to dream only to come back to reality with a bang haha..

Klopp sasa anasaka cheap free to negotiate players nimeona Kessie wa Ac Milan. Na beki mmoja huko Ujeremani na pia Mswizi mmoja huko Ujeremani wote hao Juni wanatua bure kama Klopp endapo Edwards atachangamka.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom