Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,801
- 225,569
Naona tumeanza kutulia sasaKnock knock knock yaaani hawa mbona wataachia tu...
YNWA
Naona tumeanza kutulia sasaKnock knock knock yaaani hawa mbona wataachia tu...
YNWA
Hawa jamaa msimu huu wana utulivu sana pale nyuma.Tumekosa jingine
Game ngumu mkuuLeo tukishinda itakua poa sana mnao angalia gemu mtupe info
Wanakaba mno.Hawa jamaa msimu huu wana utulivu sana pale nyuma.
Msimu huu wamefungwo magoli 12 tu.
YNWA
Blues kadrop point napenda tushinde sana japo gemu ngumu kama unavosema.Game ngumu mkuu
Ni alert kwamba tunawachapa.What a chance missed!
Tusubiri tuoneNi alert kwamba tunawachapa.
Tushampoteza kipa wao,,,ngoja tuje tena.