Tuanze na Mane mwenyewe..
Hahaha huyu mwamba ni habari nyingine babake alikua Imam na hakutaka dogo acheze mpira kwa bahati mbaya alifariki Mane akiwa na miaka 7.
SAIDO MANE
-Alizaliwa 10/4/1992.
- Amezaliwa Senegal Kusini Mji wa Sedhiou kijiji cha Bambali. Kina wakazi around 24,213 ambao asilimia 5 ni mashabiki wa Liverpool.
- Alitoka kijijini kwao na kwenda Dakar kujaribu zali la kucheza mpira na kujiunga na klabu ya Mbour.
- mwaka 2009 ma scout kutoka Ufaransa walimuona na kupelekea kujiunga na Academy maarufu ya Generation Football Academy Dakar.
- Mwaka 2011 akiwa na miaka 15 alijuinga na klabu ya Metz Ufaransa. Hakumwambia Mamake kama anahamia Ufaransa zaidi tu alimwambia Mjombake. Alidumu Metz msimu wa 2011 na 2012 na nusra akimbie baridi lakini akikumbuka umaskini nyumbani kwao akakomaa sanaaa.
- mwaka 2012 alicheza Olympic London Uingereza na akawa spotted na team ya Red Bull Salzburg wakamnunua kwa £4m.,alidumu pale Austria mpaka 2014 akifunga magoli 42 katika mechi 80.
- mwaka 2014 alijiunga na Southampton kwa dau la £11.8m.,ana rekodi ya kipekee pale akifunga the fastest hat trick in EPl.
- mwaka 2016 alijiunga na Liverpool kwa dau la usd 34m. Kwa mkataba mpaka 2023 akilipwa mshahara wa £100,000 kwa wiki.
- Kwa Liverpool anacheza kama Forward / Left Winger.
- Anavaa jezi namba 10.
- style of play ni all round professional yaani ana sifa zote za forward.. Dribbler, direct, good finisher, speed, technical gifted, high work rate, defensive duties nk.
- hana tatoo hata moja. Ni devoted Muslim.
- ameshinda akiwa Liverpool
Champions League 2019.
Super Cup 2019 season
World club Cup season 2019
Epl trophy 2019 2020 season.
- mpaka sasa amefunga magoli 102 EPL ana assist 37 jumla akicheza mechi 244 mpaka sasa tangu amehamia Uingereza.
YNWA