Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
Wanakukazia sanaHawa Wolves sio wa kubeza
Wanakukazia sanaHawa Wolves sio wa kubeza
WametubanaA few lose balls here and there...
Still getting momentum.
Come on Reds.
YNWA
Leo tunahitaji uvumilivu wa hali ya juu kupata pass sahihiWametubana
Dah naona uwanjani kugumu,nakosa raha.Leo tunahitaji uvumilivu wa hali ya juu kupata pass sahihi
YNWA
Ndio kwanza dakika 25 kua na subira.Dah naona uwanjani kugumu,nakosa raha.



Ollachuga Oc atakua sijui kajificha chaka lipi aisee...Ilobaki tuwamalize wolves... GORDON'S ya week end iteremuke muruaaah
Ollachuga Oc atakua sijui kajificha chaka lipi aisee...
Hii ligi haitaki maneno mengi ni simple lets the results speak
YNWA





kajificha kwenye chimbo la OsamaVita baridi wanajua yupo fire sana.Sasa hawa Wolves wanamzomea nini Jota?
Na atawanyosha sana.Vita baridi wanajua yupo fire sana.
YNWA
Nakwambia hivi pale kakosa aje wakatu hua anafunga...Na atawanyosha sana.
Amewakosakosa sasahivi.
Naona tumeanza kutulia sasaKnock knock knock yaaani hawa mbona wataachia tu...
YNWA
