King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Dah! Tumekosa clear chance kabisa
Hawa jamaa msimu huu wana utulivu sana pale nyuma.Tumekosa jingine![]()
Game ngumu mkuuLeo tukishinda itakua poa sana mnao angalia gemu mtupe info
Wanakaba mno.Hawa jamaa msimu huu wana utulivu sana pale nyuma.
Msimu huu wamefungwo magoli 12 tu.
YNWA
Blues kadrop point napenda tushinde sana japo gemu ngumu kama unavosema.Game ngumu mkuu
Ni alert kwamba tunawachapa.What a chance missed!
Tusubiri tuoneNi alert kwamba tunawachapa.
Tushampoteza kipa wao,,,ngoja tuje tena.

