Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tusiposhinda basi tutakua majuha, Chelsea alisare vs Burnley , jioni tukapoteza kwa westham

leo wamepoteza , jioni tunaelekea kutoa sare
kwa mentality hii ya kushindwa kufaidika na kupoteza point kwa aliyejuu yetu basi ubingwa tutausikia tuu
Mechi ni nyingii bado
 
damn this game........ tutapoteza tusipokua makini hii game! damn......
 
Liver kwenye kukimbiza mwizi ni fungu la kukosa, rejea msimu tunamaliza na points 97 naona kabisa yanaenda kujirudia tena ya ule msimu

Tunapoteza focus kila tukipata nafasi ya kwenda kileleni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom