Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Tumepata proper test leo.

Tumeshinda lakini yale yale ya siku zote pasi matata ya kuchana ukuta wenye nidhamu kama huu wa leo bado ni changamoto kwetu.

Boys leo wameonyesha big statement anbayo ni not giving up kukomaa mpaka dakika za mwisho yaaani huu ushindi sio mdogo mbali una impact kubwa sana.

MosDef alisema mpira ni mchezo wa sekude moja tu inabadilisha matokeo yote na leo tumeona 1 move 1 shot 1 goal and hureee we return from Wolverhampton na pointi 3 ugenini.

Next game ugenini UCl San Siro kuwavaa Ac Milan

No new injury.

Bold move by Klopp kuona udhaifu wa Henderson ku maintain position na right body language..

YNWA
 
Tunaongoza ligi hahaha Ollachuga Oc na vijana wake upo uwezekano wakasahau kukaa pale juu tenaaaaa....

Origi the man for the big moments.

Tukumbushane matokeo ya leo
Chelsea 2.. Westham 3
Liverpool 1.. Wolverhampton 0


YNWA
Kuongoza ligi kwa nusu saa, halafu mwenye kombe lake anakuja kukamatia usukani baada ya dakika 30.
 
Jamaa fundi sanaaaa, ana nguvu, ana speed, anajua kucontrol mpira, anajua tackle za ufundi yaani jamaa anafit kila pembe.
Huyu akipata timu ya maana atasumbua sanaaaaaaa.
Mpaka sasa hajasaini extension ngoja tuone kama kweli wataamua kumuuza..

Wanaomhitaji ni Liverpool, Manchester City na Bayern Munich.

Huyu angetua kwa Klopp mbona ingekua fabulous kwetu burudani kama zoteee.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom