Hapana ni ya kuifikiriaHii Liverpool hii ni ya kuiwaza??
Kila la kheri Chelsea
Robo yumoAndy Robertson na Divoc Origi hawatokuwepo kwenye trip ya kuelekea Naples
Ao wote watazidiwa magoli na Tammy msimu huu..
Je Karius....kiroho kinakwenda mbioooooo😋😋Nina utulivu wa moyo kwa Adrian,. angelikua mignolet nawaza tu kwa sauti.
hua unajipiga ban mwenyewe yakitokea tofauti na utabiri wako...Ao wote watazidiwa magoli na Tammy msimu huu..
Amini kwamba..
Kila la kheri Chelsea
Mkuu sisi sasa ni mwendo wa ushind tu ..kuanzia goli nne, tano na kuendelea..kwa nini nijipige ban ..ukiona sipo umu ujue ni majukumu tuhua unajipiga ban mwenyewe yakitokea tofauti na utabiri wako...
Hahahahahahah, una hamu nao eeeehKwenye Game Napoli vs Liverpool Huenda Kwa asilimja 99.99999999% Hendo na Milner wataanza kwenye Mido
Yani: MILNER - FABINHO - HENDO
Pamoja ndugu kila la kheri UCL...Mkuu sisi sasa ni mwendo wa ushind tu ..kuanzia goli nne, tano na kuendelea..kwa nini nijipige ban ..ukiona sipo umu ujue ni majukumu tu
King Ngwaba UCL ni vigumu sana kumkosa Milie Hendo uwanjani haha typical Klopp...Kwenye Game Napoli vs Liverpool Huenda Kwa asilimja 99.99999999% Hendo na Milner wataanza kwenye Mido
Yani: MILNER - FABINHO - HENDO