Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_6282.JPG
 
Niliwahi kusoma makala moja kama last two season LiverpoolEcho wakadai Auba si type ya mchezaji wa kucheza Liverpool as some wanaobelieve kuwa Fekir si type ya mchezaji wa kucheza Liverpool!!!

Ivi mchezaji (Auba) anayekupa goli 30+ per season in all competitions unasema sio type ya Liverpool? At the sametime kwenye Timu una Xhaqiri na Origi! Serious?

Unasema Fekir sio type ya Liverpool wakati kwenye Timu una Hendo, Milner na Lallana! Serious??

Timu zimejawa na Conspiracy theories
Echo ni typicak old guards type of paper...

wao hutetea usiyoyataria....

Auba suit us damn so welll....
 
TAA hana pace

Wenye pace pale Anfield kwa sasa hivi Mane ndio anaongoza kwa pace then Salah, Origi, Robertson na Oxlade Chamberlain
moja ya sifa ya Prince Mane is he can sprint, accelerate like a bullet, he has grown much in th past one year...he now know when to run and when to relax and hold up play...
 
King Ngwaba UCL ni vigumu sana kumkosa Milie Hendo uwanjani haha typical Klopp...

ukimuuliza atakujibu we needed more experience, energy and aggriveness in the Middle areas...

hapo sasa ndio Anord atakibizwa dakika 90 japo RB usishangae kumuona Gomez, CB Lovren, VVD, Robbo
Mi namuunga mkono Jk
 
Pengine Mikataba yao migumu...mfano mtu anakupa condition kila game lazima aanze utamsajili vipi ..kwahiyo kila game wale watatu lazima mmoja asugue kwa ajili ya auba
bwana wee haya Klopp alishasema mchezaji bora kukumbali kuja kwenye kikosi bora nako kunahitaji uvumilivu maana kukumbali kuja ale benchi ni shinda...

kwa sasa labda ikitokea tumpate namba 10 wa ukweli tumetoboa...

Keita apone tuone makali yake...
 
bwana wee haya Klopp alishasema mchezaji bora kukumbali kuja kwenye kikosi bora nako kunahitaji uvumilivu maana kukumbali kuja ale benchi ni shinda...

kwa sasa labda ikitokea tumpate namba 10 wa ukweli tumetoboa...

Keita apone tuone makali yake...
Naona ndo sababu naona wakambwaga...
Keita !!?? labda asirudi Africa tena.
 
MTAZAMO:
Napoli Vs Liverpool XI
Adrian
Gomez. Matip. VVD. Robo
Fabinho
Ox. Hendo.
Salah. Boby. Mane



Sub:
Kelleher.
Milner
Rhian
Lovren
TAA
Gini...
liverpoolfc-20190917-0001.jpeg
 
Salah gemu za Manchester United hana msaada kwetu, hizo gemu apigwe benchi

Salah gemu zake ni za Chelsea na Tottenham View attachment 1209650

Kwa maoni yangu Ubovu wa Salah si Uzima wa Xhaqiri/Brewster/Origi

Hao ni wachezaji wa Kukufurahisha game 2 badalayake wanapotea Miezi 6.

Origi alitufurahisha CL last season! Lakini nakuhakikishia Huu msimu utakwisha hatotupa tena firaha

Xhaqiri alitufurahisha dhidi ya Man United last season lakini ni kweli kuwa kila tukicheza na Man United atayarudia aliyoyafanya last season?

Ni kweli Salah tokea ajiunge na Liverpool hajawafunga Man United! Lakini je hiyo ndiyo inatafsiri hana msada? Serious?

Je unajua kuwa Mane ilimchukua misimu 5 tokea yupo Southermpton mpaka kajiunga na Liverpool ndiyo kawafunga only last season? Je alikuwa hana msada akicheza na Liverpool?

Sidhani kama mchezaji kutokufunga Goli kwa Timu flani ndiyo inaleta Tafsiri ya kuwa hana Msada.

Huwa napenda kusema "MANE-BOBBY-SALAH" hawa wote Watatu ni wachezaji Muhimu na tegemeo kwetu na ni wakuanza pamoja kila mchezo tunaohitaji ushindi! Kumtoa mmoja tu katiyao basi umeshaharibu system nzima ya front 3.

(Ni maoni yangu tu hayo wala sipingani na Maoni yako)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom