MTAZAMO:
Napoli Vs Liverpool IX
Adrian
Gomez. Matip. VVD. Robo
Fabinho
Ox. Hendo.
Salah. Boby. Mane​

Prediction for 1st Eleven
Adrian
Gomez-Matip-VVD-Milner
Fabinho-Hendarson-Charmblain
Mane-Firmino-Salah​

Kwa upande wangu (Maoni yangu) hichi ndiyo kikosi cha CL na EPL

MANE - BOBBY - SALAH

GINI - FABINHO - HENDO

ROBBO - VVD - MATIP - TAA

ALISON (ADRIAN)

Subs:
ADRIAN
GOMEZ
MILNER
OX
ORIGI
XHAQIRI
KEITA

Yani siwezi kuwaweka bench TAA na ROBBO kwa reason yoyote ile isiyokuwa Injury au Suspension
 
Aman iwe nanyi

Leo wahuni wa pale darajani tunaenda kushuka dimbani kumchakaza Valencia kutoka spain

Leo Valencia atakula si chini ya gor tano

Juzi tumetoka kumchapa mume wa man united wolves mkono

Sasa leo ni zamu ya Valencia na jumapili ni zamu ya Liverpool

Tukane saa nne wazee wa champion

Wazee wa futuhi man united na arsenal na nyie mkutane kwa diallo pale star tv kucheki futuhi ya akina brother k

Nimemaliza

LONDON BOY
 
Ulichovuta usirudie kukivuta tena. Kinakuletea madhara.
 
Aman iwe nanyi

Leo wahuni wa pale darajani tunaenda kushuka dimbani kumchakaza Valencia kutoka spain

Leo Valencia atakula si chini ya gor tano

Juzi tumetoka kumchapa mume wa man united wolves mkono

Sasa leo ni zamu ya Valencia na jumapili ni zamu ya Liverpool

Tukane saa nne wazee wa champion

Wazee wa futuhi man united na arsenal na nyie mkutane kwa diallo pale star tv kucheki futuhi ya akina brother k

Nimemaliza

LONDON BOY
Chelsea hapati ushindi leo labda ushindi sabuni ya kufulia maana ina povu la kutosha.... niongeze sauti?
 
Mtashinda kirahisi,maana niliwaangalia vs Barcelona walikuwa disorganized sana maana kuna baadhi ya wachezaji hawakubaliani na kutimuliwa kwa kocha wao,ila Chelsea bado sana kuifunga Liverpool cos bado wachezaji wengi ni secondary school players,Liverpool wanagraduate
 
Kwa upande wangu (Maoni yangu) hichi ndiyo kikosi cha CL na EPL

MANE - BOBBY - SALAH

GINI - FABINHO - HENDO

ROBBO - VVD - MATIP - TAA

ALISON (ADRIAN)

Subs:
ADRIAN
GOMEZ
MILNER
OX
ORIGI
XHAQIRI
KEITA

Yani siwezi kuwaweka bench TAA na ROBBO kwa reason yoyote ile isiyokuwa Injury au Suspension
..TAA leo vs Napoli akianza na Jmilner na Hendo waanze wote
 
Back
Top Bottom