Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kwa TAA nakubaliana na wewe 100%, jana Matip alisimama pembeni wakati TAA anazungushwa, nadhani Gomez huwa ni mzuri kwenye kum-cover TAA zaidi.
Kuhusu blunder ya Adrian, mimi ninai-excuse kwa kigezo cha kwamba "We make mistakes to learn", since that mistake, VVD kaacha kurudisha mipira nyuma, hata kwa Allison tuliandika mapema kabla ya kosa kwamba mpaka atakapofungisha ndipo akili itakaa sawa.
Tatizo langu kubwa Zaidi ni repetitive mistakes, mfano Salah anachelewa ku-release mpira inapelekea kupoteza nafasi nyingi, na hii problem haiwi addressed.
Team rotation, hii nadhani itakuwa poa kama League Cup na FA tutasurvive, inasaidia wachezaji kuwa tayari tayari pale wanapohitajika.
Team Rotation mwisho iwe kwenye FA na Carabao lakini sio EPL
Kumbuka Jana alipokaa Nje Bobby tu basi kilichokuwa kinachezwa kilikuwa hakieleweki!
Same akikaa nje mmoja Kati ya Mane au Salah (Don't tell me Salah was out and defeated Barca) lazima tutapata shida.
Mane, Salah na Bobby hawa wote watatu ni lazima waanze kila mchezo wa EPL regardless mashindano mengine
Bobby bila ya Salah na Mane will be nothing coz chance zake anazocreate will be lost in vain
Mane bila ya Bobby na Salah will be nothing too coz no one will create for him
And the same kwa Salah without Mane and Bobby
No chances for Origi and Xhaqiri to start kwenye game yoyote ya EPL according to mahitani yetu ya hii Ndoo
Better for them kuingia as a sub.


