Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_6266.JPG
 
Nakubaliana na hilo, mkuu Karius alikuwa danger sana hata mechi tulizokuwa tunashinda.

Adrian hajawa tested kwenye pressure, ila mpaka sasa kazi aliyoifanya ni ya pongee sana, mimi binafsi magoli aliyofungwa sijaona default kubwa, ukiacha ile blunder ambayo hata Allison aliifanya (ile ni learning process kwangu).

Kwa hiyo sina wasiwasi kabisa Adrian akiwa golini, wasiwasi wangu ni ukabaji wa TAA tu na jinsi ambavyo beki yetu inajiamini kuwaacha wapinzani wasogee sogee golini.
Adrian tested and delivered us our second trophy in Super Cup...

Lets give credit where its due...

he might not our saviour under pressure but he is just a back up and so far has exceeded all what we expected....

Cant ask for more leading the league by 5 points to our rival Citi is just down partly to this Adrin...

guys be positive tupo sawa kabisaaa

beside Allison is just around the corner..
 
Upo sahihi king, nimeona mahali January wanaweza kurud sokon kutafuta CB, ni dhahiri beki ya city Inabebwa na Laporte
Pep hana wa kumlaumu kwa hili kajiangusha mwenyewe, alimfuatilia sana Maguire badae akachomoa alishajua nyuma ukuta wake sio salama ndio maana alimhitaji sana yule ndogo...

kuodoka Vincent ambae mbadala wake ni Maguire endapo wangempata ni pigo kubwa kwao...

hawana namna wapambane na hali zao...
 
Pep hana wa kumlaumu kwa hili kajiangusha mwenyewe, alimfuatilia sana Maguire badae akachomoa alishajua nyuma ukuta wake sio salama ndio maana alimhitaji sana yule ndogo...

kuodoka Vincent ambae mbadala wake ni Maguire endapo wangempata ni pigo kubwa kwao...

hawana namna wapambane na hali zao...

Hii January Pep huenda Akamute lakini Summer Window ataingia Sokoni kwa Nguvu zote kutafuta Central Defender
 
Niliwahi kusoma makala moja kama last two season LiverpoolEcho wakadai Auba si type ya mchezaji wa kucheza Liverpool as some wanaobelieve kuwa Fekir si type ya mchezaji wa kucheza Liverpool!!!

Ivi mchezaji (Auba) anayekupa goli 30+ per season in all competitions unasema sio type ya Liverpool? At the sametime kwenye Timu una Xhaqiri na Origi! Serious?

Unasema Fekir sio type ya Liverpool wakati kwenye Timu una Hendo, Milner na Lallana! Serious??

Timu zimejawa na Conspiracy theories
 
TAA anajiamini Sana. Anajua nyuma yake Kuna Baba watoto VVD . Kuna Mcameroon Joe Matip.Kuna Allison Becker.
Halafu umri bado . Ana pace kubwa,control nzuri pia good drinking.
So no problem with Arnold.
TAA hana pace

Wenye pace pale Anfield kwa sasa hivi Mane ndio anaongoza kwa pace then Salah, Origi, Robertson na Oxlade Chamberlain
 
Kumbuka Ollachuga Oc leo anajiandaa kujenga Kambi Getoni kwako coz yeye hata apoteze michezo 10 mfululizo akibahatisha kushinda mchezo mmoja tu unamtosha kuzunguka Nyuzi zote za michezo za JF
Hahahahaha mimi natia kambi popote pale ..wiki ijayo nikikupiga namia kabisa kule kwenu ...

Kila la kheri Chelsea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom