Mbali na ushindi wa Norwich kwa city utulivu wao uliwalipa.Norwich hawakuwaza kufungwa kushinda wala kusare", Walijiachia hasa baada ya kuongoza 2-0 wakaona kumbe inawezekana eh wacha tucheze”,…
Defense yao ilikua well orgañized team work katika ukabaji uliwabeba kiasi cha kuwapaCity presha wakapoteza mipira kama minne kila wakifika final third yao.
Achana sasa na pukki mwenye udambwi wake,kuna fundi amefanana Griezman anaitwa Cantwell mambo yalikua matamu sana.
City mkifukuzana nao utaambulia kipigo kizuri sana ikiwa hauna strong strategies za kuupoka mpira, kama hauna well organized back four na DM.
Play soft & carefulness with city with no intention of win a point(s).
Lazima umpanikishe pep.