The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 3,263
- 7,642
jamaa akigain momentum ni kipa aise mzuri tu.Mm naona Adrian ni kipa mzuri tu kulinganisha na kina karius na mignolet
jamaa akigain momentum ni kipa aise mzuri tu.Mm naona Adrian ni kipa mzuri tu kulinganisha na kina karius na mignolet
Ni kweli ila mechi moja isikupe taswira ya mechi 37.Mmeshinda ila mjipange hamna team nzuri pale
SureTumechukua Super Cup ya 4
Klopp tupe EPL sasa kisha chukua sabbatical leave
We need EPL now
Huku kwenye kimataifa umeshinda kila kitu kikubwa
Asante sana Klopp
Swalehe alijua ntadondoka chini yaani aiseekua chini ya klopp muda wote ni kama upo chumba cha operation presha tu
Yule mtu hafai, Utafikiri wapo wawili uwanjani. He was by far best player on the pitch.Mimi ni mwana liver damu ILA YULE BABA KANTE NI HABARI NYINGINE KABISA. HAWAJAMPA MAN OF THE MATCH KWELI?
MANE kapiga 2Mimi ni mwana liver damu ILA YULE BABA KANTE NI HABARI NYINGINE KABISA. HAWAJAMPA MAN OF THE MATCH KWELI?
Sure
Hapa EPL ndo imebaki
Kingi Ngwaba unalala wakati timu yako pendwa inacheza?
Sure
Hapa EPL ndo imebaki