Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Two weeks ago, Adrián was a free agent, training with a semi-pro Andalusian side that plays in the Spanish sixth division.

Today, at 32, he wins the 1st trophy of his professional career, saving Tammy Abraham's penalty to win the 2019 UEFA SuperCup for Liverpool.

What a story.
 
Sio penat

Refa ...... Aaaha
Hapa ndipo nilipoamua kutelekeza kila kitu. Zima TV, zima simu, fungua chupa ya Grants... kunywa kwa fujo then kitandani.

Mamamamae... mimi sipendi kufa kwa presha.

Asubuhi nadamka fasta cheki Livescore nakuta tumenyaka kombe... mamamamae piga funda moja la grants. Naelekea kuwajibika kifua mbele!

Ahsante sana vijana wangu wa Anfield... leo nawazawadia michepuko yangu muitumie mtakavyo
 
Tumechukua Super Cup ya 4
Klopp tupe EPL sasa kisha chukua sabbatical leave
We need EPL now
Huku kwenye kimataifa umeshinda kila kitu kikubwa
Asante sana Klopp
We played very poorly Jana
Kama tunataka ubingwa, basi kuna kaZi ya ziada kufanyika

Viwango vya baadhi ya wachezaji wetu lazima vibadilike haraka sana
 
Hapa ndipo nilipoamua kutelekeza kila kitu. Zima TV, zima simu, fungua chupa ya Grants... kunywa kwa fujo then kitandani.

Mamamamae... mimi sipendi kufa kwa presha.

Asubuhi nadamka fasta cheki Livescore nakuta tumenyaka kombe... mamamamae piga funda moja la grants. Naelekea kuwajibika kifua mbele!

Ahsante sana vijana wangu wa Anfield... leo nawazawadia michepuko yangu muitumie mtakavyo
Daaaaaaah
 
We played very poorly Jana
Kama tunataka ubingwa, basi kuna kaZi ya ziada kufanyika

Viwango vya baadhi ya wachezaji wetu lazima vibadilike haraka sana
hawa vijana hawana tene ile intensity ya last season...Fabinho pale kati ipo shinda we are being overrun every now n then...jana Chelsi hawakua makini but hii gemu was thiers to win...

japo tumeshinda hiii timu naona majanga tuedako...

tumekatika balaa kati na kule nyuma hatusomeki.
.
 
Chelsea inaenda kucheza championship msimu ujao, ni timu ambayo kwa sasa inacheza jihadi tu hakuna lolote mbinu na mipango hakuna, wanakimbia hao uwanjani daaaah, au preseason wenzetu walikuwa wanafanya mazoezi ya kukimbia?
Wewe naona hukuangalia mpira jaribu kuwauliza wenzako watakwambia ukweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom