Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapa ndipo nilipoamua kutelekeza kila kitu. Zima TV, zima simu, fungua chupa ya Grants... kunywa kwa fujo then kitandani.

Mamamamae... mimi sipendi kufa kwa presha.

Asubuhi nadamka fasta cheki Livescore nakuta tumenyaka kombe... mamamamae piga funda moja la grants. Naelekea kuwajibika kifua mbele!

Ahsante sana vijana wangu wa Anfield... leo nawazawadia michepuko yangu muitumie mtakavyo

We mzee hatari sana
 
Kwa tathmini yangu game ya jana liver hakutaka iwe solid kama mechi zake nyingi za nyuma labda huenda ni kwa sababu ya kuogopa kuwa na injuries wengi na ukizingatia hajafanya usajiri na ndo kwaaanza msimu umeanza. Hata mashabiki wa liver hawakuwa na amshamsha kama tulivyowazoea.
Kwangu natambua wazi Klopp was not serious with the game.
 
Hongereni liverpool kwa kuchukua kombe.

Chelsea tulicheza vema makosa ya man u tulirekebisha kwa kiasi fulani naamini ni mwendelezo mzuri. Kwa wale waliokuwa wanabeza timu yetu chelsea naamini jana wameondoka na majibu hususani kwa wale wanaojua mpira na si wale wanaojua mpira kwa kubeti.

Yeah bahati haikuwa letu. Lakini tumepambana. Penalties hazina mwenyewe.
 
hili kombe litampa more confidence tuedako natarajia iwe timu yote watarudisha ari,kazi kazi gemu zijazo...

ADRIAN THE FREE AGENT VS KEPA THE MOST EXPENSIVE GOALKEPPER IN THE WORLD...
Mkuu usimseme Kepa ..penati hazina ufundi ..ata iyo Adrian aliyosave ni bahati tu ilimgonga mguuni ..mbona Allison alipigwa tano zote kweny community shield ..na yeye tuseme ni m'bovu??
 
Hongereni liverpool kwa kuchukua kombe.

Chelsea tulicheza vema makosa ya man u tulirekebisha kwa kiasi fulani naamini ni mwendelezo mzuri. Kwa wale waliokuwa wanabeza timu yetu chelsea naamini jana wameondoka na majibu hususani kwa wale wanaojua mpira na si wale wanaojua mpira kwa kubeti.

Yeah bahati haikuwa letu. Lakini tumepambana. Penalties hazina mwenyewe.
Na jpil kwa Leicester utakuja na ngonjera hizi hizi

Lampard ana mpira mzuri akipata muda,na wachezaji wazuri, na sio timu yenye presha kama Chelsea,

Leicester naona wakiwanyoa na kichupa bila ganzi
 
Hiv ww mbona timu za wenzako naonaga unaita majina mabaya,kumbe timu yako hupendi iitwe hivo
Mim naita kwa sababu ninyi munaita..ita timu jina sahihi sasa unakuta mtu na mapumbu yake mawili anaita timu "cheltako" au "ase8" au "asemavi" ndo nini iyo sasa?

Wapumbavu wachache tu ndo wa nafanya tuite timu majina za ajabu ajabu..
 
Acha umbwiga ww teja, cheltako huijui ni nini leo? Mpuuzi kweli
 
Mim naita kwa sababu ninyi munaita..ita timu jina sahihi sasa unakuta mtu na mapumbu yake mawili anaita timu "cheltako" au "ase8" au "asemavi" ndo nini iyo sasa?

Wapumbavu wachache tu ndo wa nafanya tuite timu majina za ajabu ajabu..
Wengine hatujawaji tukana watu ila nakuona unawashwa washwa kututafuta teja wewe
 
hawa vijana hawana tene ile intensity ya last season...Fabinho pale kati ipo shinda we are being overrun every now n then...jana Chelsi hawakua makini but hii gemu was thiers to win...

japo tumeshinda hiii timu naona majanga tuedako...

tumekatika balaa kati na kule nyuma hatusomeki.
.
Match ya pili tu meshaanza kuijudge timu..??no wonder mkianza mambo yenu ya "klop out"
 
Aroon arudie maneno yake ya kushuka daraja na 10-0
Hamtashuka daraja ila mtapata taabu sana,

Lampard ni kocha mzuri ana kitu anacho ila inamuhitaji muda na timu isiyo na presha,

Mtakuwa kila siku mnasema Leo tumecheza , ila end product itakuwa 0 point.

Mnavyokimbiakimbia mnajifariji big 4 mnaenda ila sisi wahafidhina wa EPL tunasema mtapata tabu sana .

Next ni Leicester mtapigwa 2-0 , ila mtacheza mpira mkubwa sana .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom